@SimbaSCTanzania Hii inaisaidia nini timu😡😠 yaani timu imerojeka inazidi kupoteza hadhi. Ifilisini haraka ili muondoke watu wanaotaka timu iwe waichukue. Maana mnachuma taratibu maumivu yatakua ya muda mrefu pia. So bora mchukue mnachotaka haraka mtuachie timu
@Dr_ILOMO Kwani bench huwa anakaa mwenyewe au na wachezaji wengine wa akiba🤔
Kama huwa wanakuwepo na wengine basi yatupasa tufahamu ni mambo ya kimpira hawawezi kucheza kwa pa1 coz wanaotakiwa kuwa kwenye pitch ni wachezaji 11 tu na timu ina wachezaji 30
So wengi wanakua nje kuliko ndani
@gaston_james7@SportsarenatzTz Ni sawa
Kama hawa waliopo wakichukua huo ubingwa bila shaka watakua wanstahili kupata. Kwa bahati mbaya wakikosa basi wazo kama lako litafaa kwa budget ileile kuongeza quality players
@CrownMediaTZ@HansRafael14 @crownsports_cm @SimbaSCTanzania@YangaSC My opinion;
@SimbaSCTanzania hawakugomea kwa 7bu za kutotrain
Strong reason ni kufanyiwa vurugu kwenye maandalizi ya mechi zao.
Premier League haiwezi kuendeshwa kihuni namna hii,hayo mambo yako kwenye ligi za mbuzi huko
Timu lazima ziheshimiane
@iamsamkailo@Adam_mchina@privaldinho Simba huwa hawabuni misemo coz wao husubiria matokeo na yakiwaendea vizuri ndio wanarudisha ileile walionangwa na yanga😂😂
@denhope26@DannyAggy Ukiweka ushabiki wa timi mbele huwezi enjoy Football. Kuna timu imefungwa goli la mkono na yanga na yenyewe iandike barua zisichezeshwe na yule mwamuzi🤔
Na je? Unata kutuaminisga kuwa pale yanga ilibebwa?
Nipe mtazamo wako
@denhope26@DannyAggy Hivi yanga si ndio kipindi frani washaandikaga barua kuwa hawataki huyu jamaa achezeshe mechi zao🤔
Sijawai ona pahara Simba wakimlaumu Arajiga