@TBoundBuses naiona hyo extra plus ilikuwa chuma ya NBS kipind hicho inapokezana route na mabrouck igunga tabora via ndala paka ziba baadae akaiuza kwa sudein nae akaanza kuipeleka mwisi tabora shout sana 🔥🔥🔥
@DullahTheking2 passport ni kibali cha kusafiria nchi moja hadi ingine wakati visa ni kibali cha kukaa nchi husika uliopo na hutolewa na ubalozi wa nchii hiyo unayokwenda ila passport inatolewa na uhamiaji nchini kwako!!