Nimekuwa nikiposti Charts the whole week, Almost kila wiki isipokuwa pale ninapokuwa Bize na kushindwa kuingia humu.
Huwa naposti Jumatatu Mpaka ijumaa. Profit from monday to Friday ili kuwakumbusha na kuwatia moyo wana kuwa INAWEZEKANA kuwa na winning streak kama ulivyokuwepo uwezekano mkubwa wa kuwa na Loosing streak ambapo traders wengi wanafall hapo, wana waendelee kushikilia Bomba. Since i came from the loosing streak (Loser) to the winning streak (winner). Ushindi ni mchakato wa Muda unaohitaji Maandalizi ya kutosha.
Forex ina Maumivu makali, unaloose, unawin then unarudisha zote kwa broker. Lakini, wakati wako ukifika, there is no Going back!
Wakati wako ukifika hata uyoga wa sumu unaweza kuwa Mboga, ukala na ukanawiri. Hautakufa. Watu waendelee kuinvest kwenye Knowledge, Kushape saikolojia zao na kujifunza kuwa na ustahimilivu wa kihisia ili wakati wako ukifika ukukute umejiandaa kuupokea (Skilled and emotional Matured).
Its me, Professor!ππ
The trick when dealing with failure is arranging your financial life in a way that a bad investment here and a missed financial goal there won't wipe you out so you can keep playing until the odds fall in your favor.
Read it again βοΈ.
Magnetics anakuambia Milioni moja(1M) inaweza kukutengenezea Laki moja vzuri kabsa.
Ila Laki moja kukutengenezea Milioni 1 ni ngumu sana kibiashara especially kwenye biashara ya forex na hata ikitokea umeweza kufanya hvyo bhas kufanya repetitive n ngumu.
Trading Mentalityπ§