Uongozi wa Young Africans SC kwa Kushirikiana na @GSMFoundationTz leo umetoa Mkono wa Eid katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Nazzar Foundation kilichopo Wazo Dar Es Salaam.
#timuyawananchi#daimambelenyumamwiko
Muda wa maandalizi ya ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ฐ๐
Kata Tiketi yako Mapema Mwananchi Tukutane Kwa Mkapa Jumamosi hii.
#timuyawananchi#daimambelenyumamwiko
@YoungAfricansSC currently hold the longest active winning streak in Africa club football after reaching an impressive 22 wins in all competitions; friendly matches not included. ๐ฐ
Unstoppable.
#AfricaSoccerZone#AfricanFootball
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ โKitaalam Zaidiโ
Mwananchi ni muda wa kupata Burudani ya Kimataifa Jumamosi ya tarehe 24.02.2024 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa,
Kata tiketi yako mapemaaaaa๐ฐ๐ช๐ฝ
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐ช๐ฌ
๐๐๐ screen iko tayari kwa ajili yako Mwananchi ๐๐๐ค๐๐จ ๐๐๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐๐ฅ๐๐๐ฎ ๐๐๐ง๐ ๐ฐ๐๐ง๐ข kushuhudia mchezo wetu wa Kimataifa dhidi ya Al Ahly FC utakaochezwa kesho majira ya saa 1:00 usiku๐น๐ฟ
Mwananchi usikose burudani na surprise kibao kuanzia saa 6:00 mchanaโฆ. Hii siyo ya kukosa๐ฐ๐ช๐ฝ
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko