@Nindi_Jr Safi , so i’ve an ask zile talismans amechukua Sophia toka milangoni , wale jamaa wataenda jikinga na nini au hizo bones ? hili wale monsters usiku wasiingie maana the coming episode yaenda kuwa msala, majamaa yataingia kila nyumba kirahisi kabisa
@Nindi_Jr ngumu Sophia kuonekana akifanya mishe zake as “taking the Yellow suit from Sheriff’s station”coz watu walikuwa busy na heka heka za pale mjin,na walikuwa under stress inayopelekea wasiweke focus ya nani anafanya nini/wapi haswa kwa mtu kama Sophia ambae anaonekana hana madhara
📍 Kiwanja/Eneo lipo KIBAHA KWA MATHIAS-MIKONGENI karibu na Chuo cha Open
📌 Ukubwa wa eneo ni 25x35 ( hatua za miguu)
🧷 Document iliyopo ni Hati ya mauziano,toka Serikali ya mtaa.
💵 7M tu
(Anauzia shida, kiukweli.)
As usual No dalali fees