Kuna maoni ya mdau nilikuwa nimekaa hapa jiweni nikasikia akisema haya maneno…
Alipofikia Mbosso hata aje Diamond jukwaani anakaa huyu Mbosso shughuli yake sio ndogo ni hatari, kila ngoma anayogusa watu wanapiga shangwe.
IF JESUS DID NOT RISE FROM THE DEAD, HE WAS A LIAR.
He foretold his death and resurrection, confirming he is the Son of God.
Matthew 20:17-19
https://t.co/YwPCaz4F1S
Chemical sasa rasmi ni Daktari.
Si Dakitari wa binadamu bali Daktari wa Sayansi!
Tanzania inazidi kuandika historia kupitia vipaji vya kipekee — kutoka kwenye freestyle hadi kwenye PhD.
Dr. Claudia Lubao aka Dr. Chemical — salute!
Thread:👇