@tweettza@ZuwenaKhatib@UrBoyMox Wakipewa kazi mnasema wanawapa waislamu wenzao. Wakiwapa wakristo mnasema waislamu hawasomi kufikia huko yaan makafiri ni mnashida saana
@HusseinJamaldin@Rasheed_Atm@Rahim_Meghji Hakukuwa na hoja hapo nimeuliza saudia ni dola tukufu??? Kwa hiyo huko kusikia na kutiii na mnatii muamerika na Israeli kuliko waislamu wenzenu wa Palestine ambae wanashindwa hata kupeleka misaada Wana host world cup Kwa maandalizi ya mabilion.
@msouthherbs@WAZIRI_KILIMO Hakuna mtu anabisha suala la kujengewa makaburi kuwa halifai. Umeelewa kaita dola tukufu ya saudia. Unakubaliana kuwa saudia ni dola tukufu kama alivyosema sheikh kasimu mafuta!?? Au alimqqnisha Nini kusema dola tukufu ya saudia. Kujengewa makaburi Haina ubishi haifai
@HusseinJamaldin@Rasheed_Atm@Rahim_Meghji Ili jambo lisifikiriwe na watu ni lazima lipewe jina mbaya, lipingwe lionekani haliwezekani. Unasema kiongozi hakosolewi hadharani, ila anasifiwa hadharani Kwa udhalimu wake!??. Au hamuamini kama jihad ipo Hadi wakati wa zama hizi!??
@huruma_msu95338@ravuway@Rahim_Meghji Sasa kama wanashumbilia kwake Israel penyewe na panafikaka Kwa Nini asifanye hivyo. Marekani hafiki ila Israel anafikika
@HusseinJamaldin@Rasheed_Atm@Rahim_Meghji Vijana hawana tawheed!?? Labda ni kuulize wew kwenda kupigana jihad kunahitaji vijana kuwa tawheed ya kiwango gani na unajuaje hiyo tawheed kama hawana!??.