If you could only see how bright your future is, you would start praising God and glorifying His name right now. It is bigger than you could have imagined!
@Big_Nicky01 Inawezekana , nenda bank omba kuwa na standing order. Ikifika tarehe mliyokubaliana wanakata kiasi ambacho utakuwa umeplan. Warafanya hivyo provided Account ina pesa, so unaweza angalia tarehe za mshahara ili ikurahisishie kabla hujaspend.