Wachezaji wetu wazawa mmewaona leo walichokifanya si ndio?
Ukweli ni kwamba Soka letu limepanda sana level ya Clubs sababu kubwa ni uwepo wa wachezaji wa kigeni.
Ile hoja ya tuwapunguze kΔ±na Pacome (wachezaji wa Kigeni) ni hoja ambayo itarudisha nyuma maendeleo ya soka letu.
mwaka hu uwe wa mwisho kumwaga nnje...unajua umetupa nnje maraisi wangapi? people who ment to change this world to become a better place for everyone! mwakani ni humu tuu, ππ