Lakini, Muombe sana Mungu usije kuufahamu ukweli mwishoni. Kutembea katika muelekeo usio sahihi na kuja kugundua wakati ushapoteza muda kunauma sana, ni kwenye kwenye kila kitu Kazi, Ndoa, mahusiano na marafiki, Mungu akuoneshe Nia na ukweli Mapema wa muelekeo wako.
Na Mungu akuinue tu kiuchumi uweze kumudu mahitaji yako madogo madogo, wakati usifike ambao ukipiga simu au ukitoa salamu kwa watu wako wa karibu wanahisi Kuna kitu unataka kuomba.
In JESUS name ๐
Kuna maneno hayafai kutoka mdomoni mwako hata kama ni nyakati za utani, Linda sana kinywa chako mkuu, maneno humuwakilisha mtu namna anavyowaza kichwani na aliyoyabeba Moyoni๐ค.
Kwenye maisha yako usiogope kupoteza vitu ila ogopa sana kumpoteza Mungu, kilichomsaidia Ayubu kurejea tena baada ya kupoteza kila kitu ni kwamba alipoteza vyote lakini alibaki na Mungu. Utapoteza vitu, watu, fedha, cheo na vingine vingi lakini usikubali kumpoteza Mungu๐
Kama aibu ya mtu mwingine ndio heshima yako,
Kama kilio cha mtu mwingine ndio kicheko chako.
Kama huzuni ya mtu ndio furaha yako.
Sasa skia, WEWE HUNA MAANA, WEWE BADO SANAA๐
Hili la kumpenda mtu asiyekupenda halijaanza kwako mtu wa Mungu,
2 Samweli 13:1โ22 Tamari alimkataa Amnoni, hadi alitaka kupigana๐ .
Usikate tamaa wala sio laana na haijaanzia kwako, zingatia kula vizuri na kuhudhuria kariakoo๐ ๐ฅ
ฤถipimo cha Unyenyekevu kinapimwa kwa kuangalia namna unavyoishi na watu waliopo chini yako, na sio waliopo juu yako, kuwa submissive kwa watu waliokuzidi ni rahisi kuliko kwa watu uliowazidi wewe.
Statistically wanaume ni wachache kuliko wanawake, wengine ni wazee, wengine wameleft, wengine mapadre, halafu tuliobaki tunaibiwa NYETI, mtoto wa kiume anazaliwa akiwa na maadui wengi sana, issue ni deep๐ ๐