Kuwa ongoza watu nikuwashrikisha sauti zao, ndoto zao, maono yao, matakwa yao katika maamuzi ya mambo yanayo husu hatma yao, kiongozi yoyote asiye sikiliza na kushirikisha atakuwa anataka kujiongoza yeye na sio kuongoza watu
@zittokabwe@nikkwapili@isaacmpeligwa Libya hali si shwari,tunalijua hilo.Lakini huu ni utumwa wa mwili.Ni jambo la kulaaniwa.Waafrika tuna UTUMWA wa fikra tunaofanyiwa na waafrika wenzetu ila hatusemi,hatuhoji hatuandiki.Tukemee yote kwa nguvu zetu zote
I congratulate you President @UKenyatta for being reelected as President of Kenya. I thank you for the invitation to attend your inauguration. I regret I will not be able to make it due to a prior commitment. I wish you all the best and success in your second term.
Soma sana vitabu ili uongee vichache vyenye maana.Hakuna usiku bila giza/kiza.Mapambazuko ni imani ya aliye lala.Amua moja,kua macho ili uone kwa dhahiri au usinzie ujifaharishe kwa wizi.@isaacmpeligwa
Economic planning cannot be carried out in a social vacuum.Planning always has a definite class character and is conditioned by political,economic,social and ideology factors. @masoudkipanya@Nnauye_Nape@cloudsfm
Mdogo wangu Mwanaisha Mrisho Kikwete ni miongoni mwa wanafunzi walitunukiwa shahada zao leo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nimemtunuku Shahada ya Uzamili katika Elimu.