This is my one and only country, i love her, i need her for the sake of my coming generation, the only people who will make her a better place are WANAHARAKATI!
Mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 223.5, hatua kubwa inayotupeleka karibu zaidi na lengo la TSh. Milioni 334.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Hawa wajinga kila wakionywa na kukosolewa waache ujinga hawasikii, mtu anajiita Afisa wa serikali, Akiwa amevaa kofia ya uafisa wa serikali anakwenda kutoa habari za uongo.
DJ Khalid amekanusha lakini tujiandaa Msigwa kuitia hasara kubwa sana nchi kutokana na uongo na propaganda zilizo kithiri, kiburi wamekuwa nacho ni kikubwa sana. Kama damage kama hii na usumbufu kwa mshabiki wa DJ Khalid, na kutumia jina lake vibaya, mnakuja sikia tuna kesi Marekani tunadaiwa mabillioni ya fedha.
Hizi ofisi za umma zimekosa hadhi kabisa, vimevamiwa na mazumbukuku, wasiojua changamoto ya kauli zao, wamebeba dhamana ambayo hawajui thamani yake. Maujinga kama haya yanakwenda kututia hasara na doa kubwa japo hili doa ni lao ma CCM lakini hasara ni yetu. Msigwa anafanya makosa mengi na kila siku sasa ameshika waya
Watanzania, tumebakiza TSh. Milioni 4.6 pekee kufikisha TSh. Milioni 200 katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334.
TUENDELEE KUCHANGIA BARAZA KUU LA UMMA.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Chini ya utawala wa Samia wanachama wetu wengine wamebambikiziwa kesi ya ugaidi.
Kwa Samia na serikali yake kuwa mpinzani wa serikali yake na sera za ccm ni sawa na kuwa gaidi.
Leo ni siku nyingine ya giza kwa Nchi yetu. Utawala huu dhalimu ulioua maelfu ya watu tarehe 29, Utawala unaoteka na kupoteza mamia ya watu, umeamua kuwabambikizia wanachama na viongozi wetu kesi nyingine mbaya ya ugaidi .
Uhakika ni kwamba tawala za aina hii duniani huwa zinaanguka kwa aibu na Utawala huu dhalimu utaanguka kwa aibu kubwa.
Wamiliki wa project ya kumchafua Heche na tone tone leo wametoka fronti. AIBUUUUU..
KUCHANGIA TUMA PESA:
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Watanzania, Samia yuko njiani kuweka zuio la Watanzania kuchangia Chadema ili iwe rahisi kwake kuwapa rushwa ya pesa Chadema ili wasaliti nchi na kuingia nae kwenye maridhiano ya kihuni.
Anawatumia Chauma katika kuweka zuio hili.
Yaani nyie CCM bana - mmekubali umaskini na njaa itawale kwenu na nchi nzima hali ni tete - kisa kimama chenu aitwe Rais?
Mmeshindwa kumwambia atupishe so ana nguvu kuliko ninyi!? Kimama na familia yake wamewakalia kichwani!
Sijawahi kuona kundi la wimps kama hiki! Mnapenda kujitutumua majukwaani kumbe hamna kitu - hamna hata 10% of ujasiri yetu! Mmeufyata!
Mtakwisha ila haiepukiki CCM must go and #SamiaMustGo
Hakuna kitu kikubwa na faraja hapa Dunia kama kupigania HAKI, Kusima kwenye HAKI. Tundu Lissu amefungwa na Samia lakini ni kimwili tu, roho yake iko huru
Samia amefungwa kimwili na kiroho , Samia amefungwa na Mungu, amemnyima KUKUBALIKA machoni mwa Dunia, Amemnyika mafanikio, anatembea kama sanamu tu hana heshima yoyote popote pale, anaishi kwenye uongo
Samia anatembea ananuka damu , Hauna furaha yoyote amechoka/amechakaa vibaya sana
‼️TANZANIA AMKA ‼️
Thank you @IMFNews@IMFAfrica for not enabling a murderous cabal! We will be back once we have a democratic government
Thank you!
Mnakumbuka akina Girishoni walikuwa bize wanatangaza IMF imeidhinisha mabilioni kwa serikali haramu? Hayaaa! Wamefuta kauli 😁
Tafsiri:
IMF Yaondoa Taarifa Kuhusu utoaji wa Dola Milioni 443.9 kwa Tanzania
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) liliondoa taarifa iliyotangaza utoaji wa dola milioni 443.9 kwa Tanzania, ambayo awali iliripotiwa kuwa na tarehe ya Julai 10. Shirika hilo lilithibitisha kuwa hakutakuwa na toleo mbadala linalokuja.
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Today was a very emotional day. It was good to meet my friend and CHADEMA Chairperson, Tundu Lissu, at the High Court in Dar es Salaam during the hearing of his case. Seeing him in person reminded me that true leadership is often tested in difficult moments. I was grateful for the opportunity to embrace him and show my solidarity. May truth, justice, and the rule of law always prevail.
Watanzania tusimwangushe huyu baba………..
Angalau akitoka ndani akute tumepiga hatua kubwa kwenye maendeleo.
KUCHANGIA TUMA PESA:
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
ASANTENI WATANZANIA, TUMEFIKISHA NUSU YA LENGO LETU — TSH. MILIONI 167 ✌️
Watanzania mmeandika historia!
Tunawashukuru wanachama, wapenzi na marafiki wa Chadema kwa mwitikio wenu.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
REPOST 200
That is my Boss,
Spirit yake haiwezi kuvunjwa na kuta za gereza.
Watanzania wamekusikia Boss. Kila mtu achangie chama kwa uwezo wake.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Tumebakiza kiasi kidogo saaaana kufikia nusu ya M334 kwa ajili ya Baraza Kuu la @ChademaTZ2
Dondosha tone lako hapa 👇sauti ya wengi iliyobeba nguvu ya Mungu !
M-Pesa 0744446969 Chadema HQ
NMB ACC: 22606600140
Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Wanaharakati, please tuelimishe wananchi jinsi ya kufanya maandamano ya kutokea ghafla bin vuup huku tukiendelea kujipanga na maandamano ya amani ya AFCON.
Tuwafundishe wananchi jinsi ya kutumia mikusanyiko kama ya mpira au chochote kile kuanzisha maandamano ya amani hapo hapo. Na kwamba wananchi wakiona tu maandamano yameanza eneo flani na wao waandamane hapo hapo kwenye maeneo yao.
Yani tuwafundishe ujanja wa kulipuka na maandamano ili tusiwape nafasi serikali haram ya kufanya chochote kuzuia maandamano.
Let’s talk about this as much as we can………Yani lazma tuweke hii idea kwenye kichwa cha kila Mtanzania.
MAANDAMANO YA AFCON YAPEWE NGUVU KUBWA!!! MACHO YA AFRICA NZIMA YATAKUWA TANZANIA, LAZMA TUITUMIE NAFASI HII KUKOMBOA NCHI YETU KUTOKA KWA FAMILIA HIZI CHACHE ZILIZOJIMILIKISHA NCHI YETU, FAMILIA YA KIKWETE , FAMILIA YA KIMAMA na MBWA ZINGINE.