Haya malezi ya kumlea mtoto kama yai + Uzungu mwingi kuna sehemu fulani yamechangia kuongezeka kwa mashoga.
Haingii akilini tufundishwe maadili na ustaarabu na watu ambao wameshafeli kimalezi na kimaadili.
@BillyTronix1@theutdcode TBH it is all about her religion and nothing else. Arnold Schwarzenegger ni Mu-Austria tena baba yake alikuwa ni mwanachama wa chama cha Nazi na alikuwa military police oficer wakati wa uvamizi wa Poland.
Kawa Gavana wa Califonia kwa miaka mingi hizi kelele huzisikii kabisa.
@Mwigisha2019@bajabiri Angeanza kwanza Trump, lile taifa ni la Wahindi wekundu, tena bora yeye kaingia kwa kuomba (nyaraka) wenyewe waliingia kwa mtutu.
@Rahim_Meghji Mind you, Saudi family wametoka kwenye mji wa Najd, mji ambao mtume alikataa kuuombea dua na sababu ni kuwa zitatoka pembe mbili za shetani zitazoleta fitna katika umma wake. Angalia tangu watawale pale;
1: Ottoman empire colapsed
2: Uislamu umekuwa dhaifu mno
@Ahmed175143 I trully now understand, you're among the people mentioned in this Ayah;
(5:54) ".......they strive in the cause of Allāh and do not fear the blame of a critic...."
Those two holy cities should be liberated from the evil Saudi family for the sake of Islam.