Verse ya mtu ambae hajui kuandika kwenye wimbo wa ANITA
Iliandikwa na Judith Mbibo, mshamba mmoja toka Shinyanga /Bunda ambae hatajwi vya kutosha sbb kashajifia zake huko.
Melody na mashairi.
#BongoFlavaHonors#HeshimaYaBongoFlava
"Ziko nyakati katika maisha unaletewa malaika na ziko nyakati unaletewa adui. Ukiletewa malaika kamata mikono yake akuvute uinuke. Ukiletewa adui, kanyaga mabega yake ukwee juu. Daima mwendo ni kwenda juu aje malaika aje adui, iwe ni kutumia mkono au mabega." ~Togolani Mavura.
"Mahusiano yoyote hudumu zaidi pale ambapo kila mmoja anapomuuliza mwenzake 'ungependa nikufanyie nini' badala ya kudai 'unapaswa kunifanyia nini'. Mkielekeza nguvu nyingi kwenye kila mmoja kutoa zaidi mtajikuta wote
mnapokea zaidi." ~Togolani Mavura.
"Mafanikio katika maisha yanatokana na kuitikia wito wako ulioitiwa duniani. Sikiliza kwa makini ile sauti itokayo ndani yako usiipuzie." ~Togolani Mavura.
โI Will Never Healโ: Revenge Porn Victims in Zanzibar Speak About Their Struggles
By @NajjatOmar
At just 23, she has withdrawn from all the activities that people her age typically enjoy. She no longer goes out, has moved away from the city, her parents have disowned her, and she has abandoned her long-held dream of becoming a teacher.
All of this came crashing down after her ex-partner published intimate videos of her on social media. For Hafia, the experience was devastating.
โI didnโt know he was recording me,โ *Hafia, a tall, light-skinned girl dressed in a black abaya and green scarf, recounts, her face lowered. โAfter we broke up and went our separate ways, three months later, I found our intimate video circulating in online groups.โ
โEveryone sent it to me, and there was no way to deny it because it was me. What hurt me the most was that the video didnโt show my partnerโs face, so all the shame fell on me and my family,โ she continued.
โI couldnโt sleep. I kept thinking about whether I should commit suicide or run away from home. I remember my mother saying, โMaking it a secret wasnโt enough for you; you had to keep evidence.โ Those words hurt me deeply, and I felt like my life was over.โ Her father, a devout Muslim scholar, disowned her and kicked her out of the house.
Read more>> https://t.co/odBuqV3dKZ
Huyu chalii miaka kama 3 iliyopita alikuja ofisin akiwa anauza sox, nikamuuliza kwanini unauza sox muda ambao ilitakiwa uwepo shuleni?
Akanijibu mama ake amelala nyumbani na anaumwa sana kiasi ambacho kimemfanya auze sox ili angalau akanunue panaldo za mamake.
Akaniambia baba
Usizungumzie Pesa zako mbele ya Masikini.
Usizungumzie Afya yako mbele ya Mgonjwa.
Usizungumzie Nguvu yako mbele ya Mnyonge.
Usizungumzie Furaha yako mbele ya Mwenyehuzuni.
Usingumzie Uhuru wako mbele ya Mfungwa.
Usizungumzie Watoto wako mbele ya Mgumba.
Usizungumzie Wazazi wako mbele ya Yatima.
Kufanya hivyo kunawazidishia maumivu ya majeraha yao.
โ๏ธ๐ฝ Sayyidna Ali ibn abi Talib
#KSK_Balozi
"Laiti Mwenyezi Mungu angetumia saa, majira na kalenda zetu wanadamu basi matamanio na maombi yetu yangepata majibu tunayoyataraji kwa wakati." ~Togolani Mavura.