Kuna muda kwenye Maisha lazima ukubali kuwa Kuna sehemu ulikosea, hiyo ndo namna pekee ya ku heal na ku move forward. Huenda tulikosea Jana lakini Leo tunaweza fanikisha🤒
~Wazee wa Sumbawanga✍️
Una miaka 25+
Haupo kwenye msimu wa kufatilia wasichana.
Haupo kwenye msimu wa parties na vacations unazowaona watu wakifanya.
Upo kwenye kipindi cha KUJIJENGA.
Ni kipindi cha NIDHAMU.
Ni kipindi ambacho sio kila mtu lazima akuelewe.
Na hakitakuwa rahisi.
Ni kazi.