Wewe upo online muda huu unaweza kufanya shughuli zako kwa amani kabisa.
@DEUSDEDITHSOKA yupo MATEKA kwa kupigania nchi yake ambayo ww upo huru kufanya mambo yako saizi.
Ndugu wa SOKA wanahangaika vituo vya polisi kumtafuta mtoto wao bila mafanikio. Wewe ndugu zako wapo na amani wanafanya kazi zao kwa amani.
Unashindwa kupost hata picha ya Soka ukiogopa na ww utapotezwa?
Unaogopa kurepost post za Soka kwasababu utapotezwa?
Unahisi baada ya SOKA nani anafuata?
Hii hali unafikili itaendelea mpaka lini?
SHIRIKI KUKOMESHA UTEKAJI KWA KUREPOST , KUPOST POST ZA KUPIGANIA HAKI ZA KUISHI KWA AMANI WATU WANAONEKANA WAMENYIMWA HIYO HAKI.
REPOST 200 kwa Soka 🙏🏾
Ndugu zangu wa umu twitter na mitandao mingine na watanzania wote. please naomba tuendelee Kupaza Sauti kuhusu kijana mwenzetu @DEUSDEDITHSOKA Hatujui ana hali gani mpaka sasa alipo, nguvu ya kuidai serikali kutuambia alipo ndugu yetu iki pungua tuna mkosa kijana mwenzetu.
Naomba nisaidie #ku_share mpk imfikie mama yake Abdul. Aone kwamba @DEUSDEDITHSOKA ni mtoto wa mama mwengine kama alivyo Abdul wake...na atoe amri ya Soka kuachiwa akiwa hai na afya njema haraka.
Jeshi la polisi @tanpol nivyema mkajua Soka nikiongozi katika baraza la vijana Chadema.
Ukimya wenu utatufanya vijana wa temeke na dar es salam kuandamana adi zilipo ofisi zenu Kumchukua Ndugu yetu mlio mteka
It's weekend isifike jumatatu bila majibu ya wapi alipo kiongoz wetu.
Unamteka @Sativa255 kwa kuwa aliunga mkono mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo kutofungua maduka
Unamteka @DIONIZKIPANYA25 kwa kuwa alirekodi msafara wa RAIS, magari 150+ ukiwa mkoa wa Rukwa
Unamteka @DEUSDEDITHSOKA kwa kuwa alitangaza maandamano ya vijana kupinga ugumu wa maisha
Bi Chura Kiziwi: “Kuna mbwa wapumbavu wanabwekea maendeleo yetu”
Vijana wa hovyo: 👇🏾
😂😂🤣🤣 Kumbuka like yako haionekani ila kama umekubali kubweka repost na comment🔥
Hadi wamteke mtoto wako, mume wako, baba yako, au ndugu yako wa damu ndiyo utashtuka na kujua maana ya huu msemo wa kiswahili; “MSIBA HAUKUSHANGAZI KAMA HAUTOKI NDANI YA MLANGO WA NYUMBA YENU”. Unajua kwanini watu wa Lamadi-Simiyu wameandamana? Watoto wao wametekwa vya kutosha.
1. Ni @DEUSDEDITHSOKA alichukuliwa na Polisi lakini mpaka sasa hatujui yupo wapi..?
2. Jacob Mlay huyu alichukuliwa pamoja na Soka mpaka sasa hatuji yupo wapi?
3. Ni @DIONIZKIPANYA25 ni zaidi ya siku 25 tangu achukuliwe na Polisi lakin mpaka sasa hatujui yupo wapi?
4. Ni Chaula alichukuliwa na watu wasiojulikana mpaka sasa hakuna ambae anajua yupo wapi?
#WhereIsSoka #FreeSoka
#WhereIsMlay #FreeMlay
#WhereIsDiniozKipanya #FreeKipanya
#WhereIsChaula #FreeChaula z
🚨‼️USIPITE BILA KUSOMA‼️👇🏾
RIPOTI FUPI ILIYOANDALIWA NA VIJANA KUHUSU KUKAMATWA NA POLISI KWA DEUSDEDITH SOKA NA WENZAKE WAWILI, KISHA POLISI KUTOKOMEA NAO KUSIKOJULIKANA
Siku ya tarehe 10-08-2024 mwanaharakati DEUSDEDITH SOKA ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Temeke akiwa katika maandalizi na vijana wenzake ya kuelekea jijini MBEYA katika maadhimisho ya vijana maeneo ya Temeke Mwembe-Yanga walivamiwa na polisi waliokuwa wamebeba silaha nzito na kuwakamata kisha kuwapeleke katika kituo cha polisi CHANG'OMBE. Lakini cha kushangaza DEUSDEDITH SOKA aliondolewa katika kituo hicho na kupelekwa kituo cha polisi tofauti na wenzake cha KILWA ROAD, alipelekwa na gari aina ya Land Cruiser huku akiwa amefungwa pingu tofauti na wenzake. Wenzake wanadai walipokuwa kituoni polisi walikuwa wanawapeleleza kuwa wanamfahamu vipi soka na maswali mengine kuhusu DEUSDEDITH SOKA. Walikaa kituoni kwa siku tatu kisha wakaachiwa.
Mara baada ya kuachiwa DEUSDEDITH SOKA alitoka hadharani katika account yake ya mtandao wa wa (X) na kueleza kuwa polisi waliomkamata wamemtisha sana na pia wamekariri sura yake na wamemuambia kuwa watamalizana nae hio ni tahadhari aliyoitoa SOKA. Ikumbukwe pia siku za nyuma DEUSDEDITH SOKA amewahi kutoa taarifa tena kuwa kuna watu wanamfuatilia nyumbani kwake na gari nyeusi aina ya spacio na kuzunguka nyumba yake kwa kufanya utafiti. Pia ikumbukwe DEUSDEDITH SOKA amekuwa alikamatwa mara kwa mara na jeshi hilo la polisi bila kufuata sheria. Mfano mwaka huu mwanzoni polisi wamewahi kuvamia nyumbani kwake usiku wa manane na kumkamata akiwa amelala kisha kuondoka nae lakini kabla ya kukamatwa DEUSDEDITH SOKA alijirekodi sauti ikiwa ni ushahidi kwake.
Tukirejea kwenye tukio la jumapili ya tarehe 18-08-2024 DEUSDEDITH SOKA asubuhi majira ya saa tatu asubuhi kulingana na watu wa karibu yake wanavyoeleza kuwa alipigiwa simu na OCCID wa wilaya ya Temeke mwenye namba za simu 0658688601 aitwaye Mohammed akimwambia kuwa anamsalimia lakini pia akimwambia anahitaji waonane kulingana na watu wa karibu wa DEUSDEDITH SOKA wanasema mazungumzo yalichukua dakika kadhaa kisha yakamalizika. Baada ya mazungumzo DEUSDEDITH SOKA alielekea ibadani katika kanisa la katoliki BUZA. Mara baada ya kutoka ibadani kwa maelezo ya mashuhuda wanasema DEUSDEDITH SOKA akiwa na wenzake wawili JACOB MLAY na FRANK MBISE walivamiwa na polisi waliokuwa wamevalia kiraia lakini aliyeafahamika ni OCCID wa wilaya ya Temeke Bw. Mohammed kwa kuwa polisi wengine ni wadogo kwa vyeo lakini Mohammed anajulikana kutokana na kuwa yeye ndie kiongozi wa polisi wilaya hio. Mara baada ya kuwavamia waliwachukua kwenye gari aina ya Land Cruiser na kuelekea nao kituo cha polisi BUZA na baadae wakaelekea kituo cha polisi CHANG'OMBE.
Cha kushangaza mara baada ya viongozi wa CHADEMA na wanaharakati wengine kupata taarifa hio walielekea katika vituo hivyo lakini walipofika polisi hao walikanusha kuwakamata ingawa waliwakamata hadharani kukiwa na mashuhuda katika eneo hilo.
#FreeDeusdedithSoka
#FreeFrankMbisa #FreeJacobMlay
Nimesoma andiko la @ExMayorUbungo likifafanua kinaga ubaga kwamba waliomteka ndugu yetu @DEUSDEDITHSOKA ni walewale waliomteka @Sativa255 na nimesoma habari ya @MwananchiNews ya @tanpol ikikanusha kuhusika na utekaji huo. Maumivu niliyonayo hayaelezeki. Hatupo salama. #freeSoka
Chaula na Soka wana familia wamepotea hatujui walipo sasa Leo siombi m repost Kamari ni jambo la kijamii na kibinadamu hakuna ubaguzi.
Ukikutana na Hii post weka Retweet moja tu na Mungu atakubariki🙏
Leo nikasema nipite pite kwenye page ya Soka najaribu kuingia DM nakuta kumbe alini dm kipindi cha matatizo bahati mbaya sikuona. Nimeisoma ile Dm anaonekana ni mtu ambaye aliumia sana kwenye lile tukio finally akanipa moyo tu.
Inaumiza sana wazee
Stay Safe Soka urudi salama🙏
Zaidi ya wanafunzi 270 wa Shule ya Msingi Wanyere B, kata ya Suguti, Wilaya ya Musoma Vijijini katika Mkoa wa Mara, Tanzania, wanasoma wakiwa chini ya mti kutokana na upungufu wa vyumba vya madarasa.