@MariaSTsehai Ni kweli kabisa manake tunakoenda sio kuzuri kwa kweli, Manake wenzetu wanajiona sio Watanganyika na wana serikali yao..So ni bora tuu tuvunje huu muungano.
@mwampalange@mangekimambi@jking_unit@YerickoNyerereT Kwani ujawahi kujua Freedom fighters uwaga wanapiganiaga wakiwa nje ya Nchi ,Mfano hai angalia kwa TL wamempoteza na kilema wamemtia .Huyu dada anaongeaga Mabaya ya Chama tawala ili Wananchi wawe wanajua kinachofanywa na Chama Tawala..That's all sidhani kama ana nia mbaya