@airtel_tanzania nimenunua kifurushi cha mifi kimakosa kwenye namba ambayo inatumia mifi na tayari iko na bundle la mwezi nasaidikaje ili bundle hilo liende kwenye namba husika
@Mkunga_Og@McinikaWaLamar sa si ujibu kama nesi anabariki ili kipimo kifanyike kwa haraka kuliko kubeba toka home.wengi wanataka kujua ili wajongee medical
@bajabiri Hapa sijaelewa unaumia na nini
Gari wanazoendesha
Suti wanazovaa
Ama uvunjifu wa sheria za barabarani
Ila binafsi chuki imejaa kwa wenzenu sababu mimi na wewe tuko mtaani. Ila umeonyesha dharau sio vizuri wengine tuna ndugu zetu baba zetu wako serikalini