@DrJohnBishop Great job! You exhausted everything about snake bites .
So my concern is all snake bites giving anti venom is a must or only if affected person presents danger signs like you said respiratory distress or muscle weakness, blood clotting failure, muscle pain and swelling?
@Labella_Mafia95 Waliopewa nafasi kupanga miji ndo wenye shida sana! Nikiwa rais Mimi Kuna watu nitakuwa nawagonga nyundo za kichwa, ili wajue ukipewa kazi fanya kazi sio kujaza tumbo tu.
@Eng_Matarra@hassan11rwitita Bangi iwe zao la biashara, tutaingia mikataba na nchi zinazoruhusu Bangi ili tuwauzie , mtu akitumia Bangi mpaka akaharibika akili , atatibiwa akipona kifungo miaka saba jela.
@datius_tz Nikiwaza kuhusu *UTI* tu mashine inalala mazima.
siku hizi UTI ni everywhere na haziponi kabisa,
Hili ni tatizo litakuja kuchukua nafasi ya HIV.
please guys stop doing reckless sex, pima UTI, HIV , H. Pylori na Hept b&c.
Before doing sex.
Ukimaliza chuo usirudi kijijini kwenu hakuna kitu wanakijiji wanakipenda kama kumwona degree holder akiwa anateseka.
Komaa na jiji, learn street skills; learn how to sell, kuwa hata winga pale K/Koβit's survival, sahau kwamba una degree.