Ndugu zangu fulsa hii..!!
Kupitia Account yako ya CRDB Bank unaweza Kuwekeza katika Samia infrastructure BOND, uwekezaji unaanzia laki tano na Kuendelee.
Imagine ukiwekeza laki tano baadae unakuja Kuvuna Laki nane, Hii ni Sehemu salama ya kuwekeza pesa zako.
#SamiaInfrastructureBond
#SwahibaLanguLako
@TBoundBuses@LatraTZ@latraccctz@WizarayaUC Nauli elekezinzinaonekana hapa vizuri ila ukiingia kwenye tovuti za mabasi bei bado hazifanani , Ufwatiliaji wa hizi nauli ukoje? Na ikiwa umelipishwa bei kubwa tuchukue hatua gani?
๐๐๐๐๐๐! ๐ด
Kibu Denis becomes the first player ever to take a knee-slide at the Benjamin Mkapa Stadium in Tanzania.
Kibu scored the second goal Simba against Yanga yesterday. โญ๏ธ
Binadamu wa Kwanza kuslide Mkapa Stadium.
#AfricanFootball#NguvuMoja
Simba anaechechemea, watakiona cha mtema kuni uwanja wa St. Mary's Stadium. Nawasihi wabebe vitamba vya kutosha vya kufuta machozi.
#VenomsUpdates | #OneTeamOneDream