The first batch of 99.7%-pure copper anodes produced by our new smelter at Kamoa-Kakula was recently delivered to the Atlantic port of Lobito in Angola. This shipment of anodes was the first to be transported along the Lobito Railway Corridor. The low-carbon-intensive copper anodes have been purchased by the Aurubis Group, which will refine them at its low-carbon-intensive facility in Europe. This initial delivery marks a significant step towards producing some of the world’s lowest-carbon-intensive refined #copper.
@trafigura@kamoa_copper_sa
“Our Massey” has fallen… not in comfort, not in rest, but in the line of duty. While doing what he had faithfully done for years — helping us plough the land and feed our families — he collapsed on the farm.
This strong and humble worker never complained, never asked for rest, and never demanded payment. Yet day after day he gave us his strength so that our fields could produce food. 🌱
Today the plough stands still.
The chain is quiet.
The field feels empty.
We have lost more than an animal; we have lost a loyal partner in farming.
Rest well our hardworking friend. Your sweat turned our soil into life, and your service will never be forgotten. 🙏����
A true hero of the farm has fallen in the line of duty.
Mbogamboga wameishiwa bando la fikra (intellectually bankrupt).
Katikati ya changamoto za miundombinu, msongamano wa magari, na uchafu uliokithiri Kinondoni, Dar es Salaam, akili ya Meya wa Kinondoni imegota katika kufikiria kodi kwa wamiliki wa Swimming Pool?
Mtu akijituma, akajenga nyumba yake, akalipa kodi ya ardhi, akalipa VAT ya vifaa vya ujenzi, na akaweka maji ya kupozea machungu ya utawala wenu katili wa CCM, unamfuata bafuni? Ni wivu wa maendeleo au njaa?
Dunia ya AI, magari yanayojiendesha yenyewe, na uchumi wa kidijitali, MEYA wa Kinondoni umekaa chini na wataalamu wako mkagundua adui wa maendeleo ya Kinondoni ni Swimming Pool? Akili gani hii?
Kinondoni ni mgodi wa dhahabu uliotelekezwa. CCM badala ya kuchimba dhahabu, wanachokonoa mchanga wa bahari ufukweni. Kinondoni inapaswa kuwa ndiyo HUB ya uchumi wa Dar es Salaam na Tanzania
Hapa kuna majengo yenye thamani kubwa, biashara kubwa, na watu wenye kipato kikubwa. Kinondoni imejaa majengo ya mabilioni ambayo yanalipa kodi sawa na duka la mbao la Mafinga au Tarime kwetu
Kinondoni ina majengo ya mabilioni; kuanzia Oysterbay, Mikocheni, Masaki, Kawe, Kunduchi, Msasani, Bahari Beach, Mbweni hadi Makongo Juu. Lakini mfumo wa ukadiriaji kodi ni wa kizamani umesheni rushwa
Huwezi kumtoza kodi ya jengo mtu wa Manzese sawa na wa Msasani Peninsula. Kinondoni ingekuwa na mfumo wa kodi unaotokana na market value ya eneo, jengo moja Masaki lingeweza kulipia kodi ya kata ya Goba yote
Hivi jengo la ghorofa 10 linaloingiza mamilioni ya kodi ya pango linatozwa kodi gani ikilinganishwa na kodi ya swimming? Ni akili za kimasikini kutafuta senti kwenye bwawa wakati mabilioni yanapotea kwenye majengo
Idle Land Tax (kodi ya viwanja porini); Kinondoni imejaa “vigogo” waliohodhi ardhi kubwa bila kuiendeleza. Hawa wanaoitwa ‘vigogo’ hawalipi chochote cha maana. Halmashauri inatakiwa kuelekeza nguvu huko
Piga kodi kubwa viwanja ambavyo havijaendelezwa ambavyo vinapatikana katikati ya mji (Kinondoni ni epitome). Hii itawalazimisha wajenge (kuongeza thamani ya mji) au wauze kwa wenye uwezo wa kujenga
Hapo ndipo unakuza uchumi, siyo kwa kumpiga kodi mtu aliyeweka maji ya kuogelea kwa pesa yake ya halali, nyumbani au katika eneo lake la biashara na tayari amelipa kodi ya vitu vyote vinavyohusika na ujenzi
Unapomtoza kodi mtu mwenye swimming pool, unamuadhibu kwa kuwa na maisha mazuri, lakini unapotoza kodi ya majengo (property tax) kulingana na thamani, unajenga mji. Hii ni akili ya kawaida tu
Yaani, badala ya kufikiria Strategic Urban Planning, MEYA wa Kinondoni anawaza jinsi ya kuhesabu swimming pools? Najiuliza, hizi “akili za kijani” ndiyo zinatumika Tel Aviv, Washington, D.C au Tehran?
Badala ya kuboresha mfumo wa Property Tax ambao ungeingizia Manispaa ya Kinndoni mabilioni ya fedha kwa haki, CCM wanatafuta “viji-kodi” mbuzi tu. Acheni kutafuta ‘easy money’ kwa kunyanyasa waliofanikiwa
Hii ni kama kumuacha ng’ombe ambaye anatoa maziwa mengi (Property Tax), kisha unaanza kumkamua mbuzi (Swimming Pool) ukitegemea kupata lita elfu moja za maziwa. Binafsi, nafikiri ni ukosefu wa maono tu
Huu ndio ugonjwa wa MaCCM. Hawawazi tena namna ya kukuza uchumi (Wealth Creation), akili zao zote sasa zinawaza namna ya kumpunja hata hicho kidogo mwananchi alichobakiwa nacho (Wealth Extraction)
Ukiona kiongozi katika halmashauri au manispaa anawaza kutoza kodi ya swimming pool, fahamu kabisa amefika mwisho wa kufikiri. Kinachofuata ataanza kutoza kodi ya hewa ya AC inayopuliza sebuleni kwako
Tunahitaji viongozi wanaowaza Macro-economics, siyo hawa wanaowaza kama wamiliki wa maduka ya rejareja vijijini wakati wapo Kinondoni. Ukimaliza kodi ya Swimming Pool, utafuata kodi ya maua ya bustanini?
Kinondoni haihitaji sheria mpya ya kodi ya swimming pool; inahihitaji viongozi wenye vision. Nafikiri huko CCM hakuna hao watu wenye vision tena kama MEYA wa Kinondoni na baraza lake wanaona hii ndiyo akili
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila
Ndani ya Kanisa hili dogo lililojengwa mwaka 1885 huko Pugu ndipo atakapozikwa Kadinali Pengo leo hii. Mwaka 1889, Wamisionari 14 toka Ujerumani waliokuwa wakieneza dini eneo hilo walivamiwa na utawala wa Sultani wakauawa, tena Kanisa hili likachomwa moto. Baadaye lilijengwa upya
@KenyanSays Wakenya mko Tanzania, better murife asap.
Innocence will not appease demon possessed jihadist Suluhu & her thug police.
Idi Amin did it 1976 after the humiliating Entebbe raid, ordering Uganda army to murder 245 kenyans.
#IdiAminDada returns for season 2. Life imitates history.
@KenyanSays That’s how dictatorship works — when truth hurts, they look for foreigners to blame.
Today it’s Kenyans, tomorrow it’ll be their own shadows.
Tanzania needs healing, not scapegoats.
@koshercockney@TIME I’m shocked & saddened that I didn’t know his wife was British 😢.
This really was suppressed by our appalling government(s).
This man ❤️❤️❤️ my heart breaks for him.
@koshercockney@TIME I don't know how he and Yarden Bibas are surviving let alone fighting. They have strength and resilience and power beyond most of us could ever have.
My heart goes out to them and all the hostage families.
Watu wa Nepal ni poa sana ila asilewe.
Wakilewa pombe huwa ni wakorofi sana na kupigana ni jadi yao na huja wote.
Makazini ni wanafiki sana na huweza kukuondoa kimkakati sana ili wamuweke mwenzao.
Tatizo kubwa la Nepal ambayo ni sawa na ilivyo Bahrain ni kuwepo kwa utawala wa kifalme ambao huwasahau kabisa watu wengine.
Hivyo ufalme ulipoondolewa mwaka 2008 kukawa hakuna njia ingine ya kujiongeza kwa serikali ambayo wengi wa mawaziri wake ni wale walokuwa kwenye mtandao wa kifalme.
Kwahiyo uchumi na matatizo ya kijamii ambayo imegawanyika kwa koo mbalimbali ndo sababu kubwa ya kutokea yalotokea.
Watu wa Nepal hufahamiana na kutambuana kwa koo kama Gurung, Bamber, Surikai, Limbu na mengine.
Mabinti wa Nepal ni wazuri sana khasa akizoea kupanda SGR na kuweka ujazo wa 5G ya uhakika atakusumbua sana.
Lakini wanaume wao wana wivu sana wakigundua binti amepata SGR ya 5G kutoka kwa Kimkombo Kingambo.
Wanafanana kabisa ma wabongo