I'm Experienced 'Computer & ICT Teacher/Tutor' with Passion for Lifelong Leaning and Teaching/Tutoring about ICT...I Help People of All Ages.
WhatsApp Me: ๐
8. Kutumia Command Prompt(CMD) au PowerShell
- Fungua Command Prompt au PowerShell.
- Andika neon hili hapa๐ start excel na bonyeza Enter.
Njia hizi zinaweza kukusaidia kufungua Excel, Jaribu mojawapo kati ya hizo ambayo itakuwa nyepesi kwako.
Unawezaje Kufungua Excel Kwenye Computer Yako?
Hapa kuna njia kadhaa za kufungua Excel kwenye kompyuta yenye Windows, chagua moja kati ya njia hizo ambayo itakuwa nyepesi kwako:๐
@utdkef @Total_Seth Hizo zipo kusaidia wenye hawaoni vizuri ili waweze kukariri button. Na kuandika.
.
Ukiangalia kwa mbali utaona hiyo button 5 iko at the Centre. Kutoka hapo ni rahisi kufikia button nyingine bila hata kuangalia kwenye keyboard....!
โ ๏ธSo Kuna Hii eBook Yangu Mpya Inaitwa:
โ$1M CONVOโ
Imetoka Leo!
Na Nimepanga Kuiuza Kwa Watu 100 TuโฆPlus FREE Masterclass
Sasa Unaweza Kuipata Kupitia Hii Link Hapa Chini ๐
https://t.co/BUlnvajIpK
Najua unajiuliza.. Je unapataje faidi katika UWEKEZAJI katika hisa za makampuni yaliyoorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam?
Ni hivi, unapokua umefanya utafiti na kupata ushauri kupitia mawakala wa Soko.. basi unakua umajidhatiti vema kuanza kufanya uwekezaji..
Na uwekezaji sasa ni RAHISI ZAIDI kuliko wakati wowote.. DSE Hisa Kiganjani ndio SULUHISHO LA UWEKAZJI..
FAIDA ZA KUWEKEZA KATIKA HISA ZA MAKAMPUNI:
๐ Magawio yatokanyo na mgao katika faida itakayopatikana baada ya kampuni kufanya biashara na kuainisha upatikanaji wa faida. Kwa hiyo kiwango kitachokua kimethibitishwa kutolewa kama faida kwa mfano kampuni husika ikisema itatoa gawio la TZS 100 kwa kila hisa, maana yake utazidisha idadi ya hisa ulizokua nazo za kampuni hiyo na kupata kiasi ambacho utapokea katika gawio hilo
๐ Ukuwaji wa bei ya Hisa husika. Hii ni pale kampuni inapokua inafafanya vizuri na kuvutia wawekezaji wengi hivyo kufanya hisa hizo kuhitajika na kufanya kuwepo na uadimu wa hisa hizo ambao kwa mifumo ya kiuchumi husababisha bei kupanda. Mfano awali ulinunua hisa za kampuni flani kwa bei ya TZS 500 na baada ya utendaji mzuri basi msukumo wa bei hutokea kwa mwelekeo wa kupanda na inaweza fika mfano TZS 700 kwa wakati huo. Hii inamaanisha nini? Kwamba kwa idadi ya hisa uliyonunua kwa bei ya awali utazidisha kwa hiyo TZS 200 iliyoongezeka na kujua faida utakayopata kama utaamua kuziuza kwa wakati huo..
#ujanjanikuwekeza
HIZI NDIZO BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA KWENYE MIKOA 26 YA TANZANIA.
Pia nimeunganisha na mawazo 190 ya biashara
Kupata hii PDF yenye Pages 10.
commment "nahitaji"
"Repost" hii post
Na, hakikisha umenifollow ili niweze kuingia kwenye inbox kukutumia.
๐