Bookmark hii...
Nilishawahi kukundikia hapa namna unaweza
Tumia maneno yenye NGUVU.
Si Kila Neno Unatakiwa Ulitamke,
Tumia maneno Ku-triger Hisia
AU...
Kufanya Mtu Akuamini,
Kama ulichelewa KU-FOLLOW account hii
Basi nakuandikia tena hapo chini ....
π§΅ππΎ
@francismtey Like aliingiliwa mipango yake na shetani? Mungu ajuaye kila kitu alishindwa kujua shetani ana mpango wa kumharibia mpango wake? Ama shetani alimzidi ujanja Mungu, kisha Mungu akahamishia adhabu ya kuzidiwa na shetani kwa Mwanadamu (kiumbe aliekipenda zaidi).
@INFLUENCERjr Yaweza kuwa kuwa hapendelewi, lakini Messi kwa sasa ndio face of Football.. Mpira wake unaonekana miujuza kwa wengi, unatakiwa kuulinda huo muujiza.