Leo napiga goti la unyenyekevu mbele za Bwana, si kuomba chochote bali ni kumshukuru kwa mengi anayotenda juu yangu ambayo hata sikuyastahili na kubwa zaidi kumuombea kheri zaidi kwa matendo yake Makuu. UBARIKIWE MUNGU KWA HURUMA ZAKO JUU YANGU π
@kaka_pepsi Nayaogopa mapenzi wanaume nyie mmh hapana. NITAKUAMINIJE ?
Hapo kabla ya kuanza verse ya pili baada ya chorus nakohoa kama KONDEBOY π€£, namuita WEE ZOMBIE HAUJUI π biashara ishakata hiyo π