MCHAKATO WA KUTENGENEZA MTEJA WA KUDUMU KTK BIASHARA YAKO.
Kilichobeba hela yako ya LEO ni MATOKEO ya kile mteja ALICHOKISIKIA au KUAMBIWA na watu kuhusu wewe.
Kilichobeba hela ya KESHO, ni MATOKEO yaliyofikia MATARAJIO au kuzidi katika kile ulichofanya leo, hapo ndio process ya kutengeneza mteja wa kudumu ilipo.
Kitakacho fanya mteja aendelee kubaki kwako ni
1. UAMINIFU WAKO.
2. UBUNIFU WAKO
3. UBORA WA HUDUMA YAKO
4. USHAURI WAKO.
Hapo ndipo utakapo mtengeneza mteja wako awe wa Kudumu.
FAHAMU JUU YA UFUGAJI WA SAMAKI YAAN AQUACULTURE/ FISH FARMING
-THREAD AQUACULTURE-
Leo tushare ideas juu ya ufugaji wa samaki moja ya biashara inayowaingizia pesa sanaaa Bara la Asia huku ๐น๐ฟ ikisahaulika japo tukijitahidi
#NipeDili#KilimoFursa
๐Retweet ifike mbali
Hembu angalieni mwonekano wa Tz na Kenya Royal Class kwa ndani
Tanzania Tumepigwa na Kitu kizjto aisee ๐๐๐๐๐๐
KKwamba tunauza Speed Tu, kwenye Royal class?
U-royality tunawaachia wakenya ๐๐๐๐
Embu angalia tulivyochakazwa...๐ญ
Video kwa Comments๐
FAHAMU KWANINI GARI LA RAIS WA MAREKANI LINAWEZA KUHIMILI SHAMBULIO LA BOMU
Gari la Rais wa Marekani kwa Jina Maarufu ''The Beast'' Limetajwa Kuwa Gari Salama Zaidi Duniani.
------Thread/Uzi๐งต....shuka nayo-----
Manzi akikuheshimu kabisa
1. Hawezi cheat
2. Arguments zinapungua
3. Atakutaja popote bila aibu
4. Anakubali kuwa under control
5. Upendo ni 100%
Bros
Sex sio determinant ya kupendwa but Respect is.