Top Tweets for #KilimoFursa
Well said Kwenye space ya #KilimoFursa nilizungumza hili kwa kina bt wasio na macho mawili katika kilimo waliona nazuia Vijana kuingia katika kilimo na nlisema mbona sekta zingine hazifanyiwi hamasa watu waingie why kilimo?
Kilimo ( kama biashara nyingine) zinahitaji uhalisia kuliko hamasa. Hamasa tupeleke kwenye siasa.
Huku tunawekeza fedha, lazima matarajio yawe sahihi, yenye uhalisia, na umakini wenye kuelewa risk zilizopo.
Nina story nyingi binafsi kuhusu kilimo, moja wapo ni hii ya kuanza,

Vijana wa BBT wakielezea mazingira waliyofikia kwenye vituo atamizi pamoja na mashamba makubwa yanayoandaliwa na vitu vilivyoandaliwa mashambani.@CarolNdosi
@MalemboLE @HusseinBashe
@tzagriculture #BBTkilimo
#KilimoBiashara
#KilimoMkwanja
#kilimoAjira
#kilimoFursa
#ShambaDili
Vijana wa BBT tupo site Kazi inaendelea kilimo ni fursa na kupitia sekta hii vijana wengi tutajiajiri kupitia kilimo cha kisasa na chenye tija.
#BBTkilimo
#KilimoBiashara
#kilimoFursa
#KilimoMkwanja
@CarolNdosi @HusseinBashe @MalemboLE @MsigwaGerson
@SuluhuSamia @tzagriculture
Mkoa wa Morogoro ni moja ya mahiri kwa kilimo cha umwagiliaji
1️⃣0️⃣6️⃣ skimu za umwagiliaji
6️⃣6️⃣ skimu za umwagiliaji za asili
4️⃣0️⃣ skimu za mwagiliaji zilizoboreshwa
Mpaka sasa ni asilimia 1️⃣9️⃣ tu ya sehemu maeneo yenye fursa za umwagiliaji zinazotumika kwa kilimo
#KilimoFursa

@mkulimamakini @MalemboFarm @Mugaka_N @yose_hoza @tzDiscovery @Kamigakikumbise @tzagriculture @ManenoIzaak @noel_isidore @LusakoWaKwanza @FAOTanzania Hongereni sana kwa kutoa Mafunzo kwa vitendo.
#KilimoFursa
#KilimoNiAjira
Dubai and Netherlands here we come!!. 30 Tons of fresh avocados. #WeTradeAgricStories

Baada ya kampeni ya #KilimoFursa @TasmiTanzania wameunda makundi ya Whatsapp na telegram.
Dhumuni kuu la makundi haya ni kushirikishana fursa, kuelimishana kuhusu kilimo na kuhabarishana masoko ya bidhaa za kilimo.
Karibu!
Whatsapp
https://t.co/mjqivt0HEO

@MwalimuMshamba @TasmiTanzania @AbcNgereza @fredoxzero @ringia_adelah @MangiSoul @SenkuboJuma @GeorgeMkisi @ERICKJGAGALLA @Mkulimawakweli @Reagany_Mchome Hatuwezi kuishia hapa. Tumedhamiria kushirikiana na vijana wote wanaoshiriki Kilimo kutatua changamoto pamoja na kuhakikisha tunaleta Tija kwenye kilimo. Karibu kuungana na sisi #KilimoFursa
Dhumuni kuu la makundi haya ni kushirikishana fursa, kuelimishana kuhusu kilimo na kuhabarishana masoko ya bidhaa za kilimo.
Karibu! #KilimoFursa
Whatsapp
https://t.co/AZZpBXIlYc
Telegram
https://t.co/AnaTxPRIGp

Tunawashukuru sana wote walioshiriki kampeni yetu ya mtandaoni ya #KilimoFursa
Tumedhamiria kuendelea kushiriki katika kutatua changamoto na kuhamasisha kilimo kwa vijana na jamii nzima.
Tumetengeneza makundi mawili ya mtandaoni (Whatsapp na Telegram) jiunge uendelee kuwa nasi

https://t.co/eWWtLHZHfM
Shirika la Tanzania Smart Minds Organization linakualika katika kundi maalum la mtandaoni #KilimoFursa linalohusika na fursa za kilimo,elimu ya masuala mbalimbali ya kilimo na soko la bidhaa za kilimo.
@TasmiTanzania
#VijanaKwanza
Karibu tufurahie kilimo!

Ushindi wa @PASS_Trust kama taasisi bora ya kuwezesha sekta ya kilimo nchini miongoni mwa NGOs ni dhihirisho tosha la imani ambayo wafanyabiashara katika mnyororo mzima wa thamani wanayo katika taasisi hii. Asema Mkuruenzi wa Pass @nicomed_bohay

Nawatakia heri WAKULIMA, WAFUGAJI na WAVUVI katika sikukuu hii ya Nanenane. Serikali inatambua mchango wenu mkubwa katika ujenzi wa Taifa na ustawi wa Watanzania. Tunaahidi kuendelea kuwaunga mkono na kushughulikia changamoto zenu ili kuongeza tija katika kazi zenu. NANENANE JUU!
TANZANITE na Kahawa ya Tanzania kutangazwa nchini China kupitia kituo cha Television cha Hainan siku ya alhamisi tarehe 13 Agosti 2020. Kuanzia jana Kituo hicho kimeanza kurusha matangazo ya vivutio vya utalii vya TZ katika tovuti https://t.co/zXS4xStV25

@MpondaSabinus Oya Ulipitia Hii Account Ya @TasmiTanzania Kuna Uzi Mkali Kuhusu Kilimo Na Fursa Zake, Pitia Halafu Nishukuru Baadae Maana Najua Kijana Kilomo Kipo Kwenye Damu Yako Na #KilimoFursa
Badilisha mtazamo na fikiria zako kwanza kabla hujaamua kulima. Kilimo sio Utumwa.

Fursa nyengine ni biashara inayohusisha pembejeo za kilimo. Hii inaweza kufanyika kwa kuanzisha duka linalouza Bidhaa za kilimo kama Mbegu za Mazao, Dawa na vifaa mbalimbali vinavyotumika kurahisisha shughuli za kilimo Mashambani.
#KilimoFursa

Aidha kilimo cha mazao ya chakula kimefanikisha kuwepo kwa biashara ya mazao ya kilimo katika masoko mbalimbali ndani na nje ya nchi, vilevile uwekezaji katika bidhaa za chakula katika viwanda mbalimbali umeendelea kuongezeka kadri ya ukuaji wa sekta ya Kilimo
#KilimoFursa
Chakula ni moja ya mahitaji ya msingi kwa binadamu, Kilimo ni miongoni mwa njia muhimu zinazotumika katika kupata chakula kupitia mashamba mbalimbali. Mazao ya chakula ambayo yanalimwa nchini ni kama mahindi, mpunga, mtama, muhogo, Karanga nk
#KilimoFursa

Last Seen Hashtags on Sotwe
รับงานนครปฐม
Seen from Thailand
flingster #gay
Seen from Canada
anxiouspandaa
Seen from Belgium
türkporno
Seen from Germany
อยุธยาในเมือง
Seen from Thailand
Unexpected
Seen from Mexico
wldm
Seen from Norway
minichatt(***********)(***********)+filter:videos
คูมหมอxคูมหมี
Seen from Thailand
anxiouspandaa filter:videos
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers





















