Comrade nimefurahi sana kuona kua na washairi walihusika enzi hizo katika mambo ya siasa jukwaani. Nami naomba nafasi ktk chama chetu nguli hapa nchini na Afrika (CCM) nishiriki katika harakati za kukipigania na kukitumikia chama kupitia tungo zangu za mashairi. #SamiaMitanoTena
Kuongezea hapo ukifanya mahesabu tu ya mchanganuo wa wajumbe wa kura za maoni nafasi za wabunge kwa wajumbe utaratibu uliopitishwa hivi karibuni na vikao za Jimbo la Dodoma Mjini tu na hili ni Jimbo moja kati ya majimbo Kumi ya Mkoa wa Dodoma, ina wajumbe takribani elfu 22. Hapo hatujagusa wajumbe wa majimbo mengine, wapenzi na wakaereketwa wa Chama chetu wa ndani tu ya Mkoa wa Dodoma. Tukiweka wasanii ni kuendelea kuwatambua kama watu wetu lakini huu pia ni utamaduni wa Chama chetu. Haujaanza leo. Chama chetu ni cha watu wote. Zamani mikutano ya hadhara ilisheheni wasoma utenzi. Hata Mwalimu Nyerere alikuwa bingwa wa kutunga utenzi. Bibi Titi alikuwa ni muimbaji mahiri na alitumia kipaji hichi ku-mobilize wananchi kwenye harakati za TANU. Wasitake kutudogosha fact za namba zinaongea bila kelele nyingi. Tukutane Oktoba 2025!!!

Wabongo wenzako unaonana nao kila siku kwenye shughuli za hapa hapa nyumbani ila kwenye summit mmesimama pamoja mnapiga soga mkiacha wageni takriban 2,000 wakifanya wawezalo kunetwork wenyewe. Networking ingefanywa somo chuoni.