Tume ya Jaji Nyalali 1992 na Tume ya Jaji Kisanga( wote marehemu) zilisema katiba ya mwaka 1977 ni ya mfumo wa chama kimoja. Ili tuingie ktk mfumo wa vyama vingi lazima KUTENGENEZA KATIBA MPYA.
Wanaodai eti maendeleo kwanza wajue katiba nzuri ndio ina regulate hayo maendeleo.
Sawa ndani ya bunge Chadema ina mbunge mmoja tu wa Nkansi. Halmashauri zote zinaongozwa na CCM. Development project zote zinapitishwa na bunge au halmashauri. Ni kitu gani kinawazuia hadi kuzuia haki za kidemokrasia zilizopo kwa mujibu wa katiba na kuwafungulia kesi uwanaozidai?
Mh @freemanmbowetz ukiachana na kwamba ni Mwenyekiti wa @ChademaTz pia ni baba,kaka,mjomba,baba mdogo na ndugu wa wengi sehemu mbali mbali huko kote hajawahi kufanyia mtu ubaya wowote mnasema UGAIDI hamna hata AIBU pumbavu nyinyi.Sometimes tumieni akili kidogo kuficha ujinga wenu
@chacha_heche@senatortarimetz@tanpol@HecheJohn@ChademaTz Ss ndo vitu vilivyowapeleka ivyo ndo maana itafikia mahali ukiskia polisi ameuwawa inabidi ufurahi tu kwa sababu matendo yao hayaendani na sisi kwa kifupi hayatupendezi kabisa
Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa
@ChademaTz@freemanmbowetz kwa ajili ya kufanya upekuzi.Katika upekuzi huo, wameambatana na kiongozi huyo, hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje ya chake hicho @JonMrema
Joint Statement by @idualliance and @dua_africa on the arrest of @ChademaTz Chairman @freemanmbowetz: The IDU demands that the Government of Tanzania guarantee the safety and the immediate release of Chairman Mbowe and all other CHADEMA leaders. https://t.co/0Q2nbnTYxm
Political and economic stability are identical twins.If you want to loose one of it,ignore the other.Suspend of constitution reform you are running for economic stability.What do?To make proper identification and investigation on economic instability matters caused by government
@IAMartin_@SuluhuSamia Mimi naona mama samia inabidi awatoe hawa wapuuzi bila huruma wamewatesa sana watanzania. Wanamtia doa, tunaanza kukosa imani mapema. Mashetani kama sabaya na huyu dotto jemsi hawa kima wote wasipewe nafasi yoyote inchi hii
Nawatakia watanzania wote Pasaka njema, tuadhimishe ufufuko wa Yesu Kristo huku tukiliombea Taifa letu la Tanzania kudumisha amani, upendo na mshikamano. Tuendeleze jitihada za kuijenga nchi yetu kwa kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa.
Yesu amefufuka, Haleluya Haleluya.
@kigogo2014 @FichuaTanzania Hii dunia ni yetu sote. Watu wachache wakijikuta wana mamlaka ya kukatisha maisha ya wengine, basi Mungu atawapunguza, watoto wake waishio duniani waishi kwafuraha. Anasema anapendezwa na WATAKATIFU walioko duniani