Jamani kuna taarifa ambayo serikali ya Zimbabwe haijathibitisha kuhusu abiria ila lwa uhakika helikopta imeanguka - watu wanasema ilikuwa imembeba Chivayo na mke wake 🧐
Ila kuna mtu alitabiri mwaka jana kuwa atakufa kwa ajali ya ndege! Aisee!
Hebu tusikilizie …
Okk @mutami_susan I am freaking out if the news is real ..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Prisca Burton Lwangili kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Tunguu Zanzibar, tarehe 27 Julai, 2026.
Ngoja tuangalie jinsi wanavyozichapa watani zangu wa @yangasc1935 kati ya shabiki kindaki ndaki wa kufa na kupona wa Yanga kaka @IAMartin_ na bwana mdogo @privaldinho
Nataka tujuane,wewe upo upande gani?kam wewe ni
1. Team @IAMartin_ RETWEET
2. Team @privaldinho LIKE.!
Mahakama na #TRA ni mojawapo ya taasisi zilizotumika kama silaha muhimu za TYRANT #Magufuli kumsulubu na kumsambaratisha @freemanmbowetz KISIASA & #KIUCHUMI lakini mpaka anaenda kaburini aligonga mwamba!
Ushuhuda wake mwenyewe KAKA huu hapa
👇👇👇
"Kila biashara niliyojaribu kufanya ilizuiwa, ilifungiwa, ilibomolewa, iliumizwa.
Nilikua nje ya nchi kutafuta fursa za kufanya biashara kimataifa kwa sababu ndani ya nchi yangu #Magufuli na serikali yake waliapa kamba sitafanya biashara yoyote"
@freemanmbowetz
"Kanisa tumerejesha zile taratibu za kuzingatia tahadhari katika misa zetu, kama ilivyokuwa mwaka jana. Changamoto tunayopata tofauti na mwaka jana, wengine bado wana ile dhana tuliyosema mwaka jana kuwa "Corona imeiisha," Fr Charles Kitima, Katibu Mkuu TEC.
"Nawashukuru wote waliovaa barakoa na wale ambao hamna naomba niwalalamikie, napenda nitamke wazi kwamba, tunapopita ni tete, hali siyo shwari, hali ni mbaya." Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwa'ichi, Jimbo kuu la Dar es Salaam.
Sehemu ya kwanza.
KITUKO: Akimbia na sanduku baada ya kupiga kura; Ni tukio lililotokea leo mkoani Lindi ikielezwa kuwa kijana mmoja ameondoka na sanduku la kura kwa kutumia pikipiki baada ya kumaliza kupiga kura yake. Muhammad Nyaulingo anasimulia tukio lenyewe lilivyokuwa.
#UchaguziMkuu2020