@AbsalutC@ZachxPius@swahilitimes Pia kumbuka hatuwezi kuadapt teknolojia za uzalishaji bidhaa kwa unafuu kama tusipowakaribisha wageni kuwekeza Nchini. Tuache kuwakumbatia wanaojiita wazawa wakati pesa yote wanaipeleka nje ya Nchi na kuiwekeza huko kwanza huyo jamaa si mtanzania ni sisasa tuπ
@AnnaTibaijuka Sawa ila dhana ya tarrif charges inatokana na dhana ya udhibiti matumizi ya umeme ili kuwafanya watumiaji wadogo waipate huduma ya umeme kwa bei nafuu ukilinganisha na watumiaji wakubwa. Je Prof uoni kwamba huu ni muda sahihi wa kuziondoa tarrifs kwenye tozo za umeme.
@rbarwanda Nimekipenda sana hiki kipindi kwasababu ya lugha ya kiswahili iliyotumika kwani inatufanya tuyajue mengi kuhusu Nchi ya Rwanda. Taifa lenu ni Bora sana kwatika nyanja ya kimaendeleo hongereni mashemeji wetu.
@zittokabwe@kelvinklevn@ChamsBuilder Tujikumbushe kwa gharama za umeme zilipabdishwa kutokana na uhaba wa uzalishaji umeme Nchini kama tuna suplus kwenye uzalishaji basi tuzishushe bei za units kwa watumiaji wa level zote ili kuchochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi. Silazima tuuze nje.