@EzbornSpeaks Ujacheza mpira kama ungecheza mpira usingeuliza swali kama hilo kila timu huwa n macaptain watatu pia captain mkuu huamua nani avae badge sio lazma awe captain badge anavaa yoyote uwanjan vip km captain ni kipa je ataacha goli akaongee na refa captain ni kiongoz sio uzoefu