Hana pesa nyingi, si tajiri, Ila yupo pembeni yako na anahakikisha una furaha kupitia hicho hicho kidogo chake anachoshea nawe, Usimpoteze, wapo wachache sana wenye Moyo huo
@kigogo2014 Babu we vipi kwani Tuache na Manchester yetu wewe mbona Hatukuingilii kwenye Chadema Yako ?? Baki kwenye siasa kuhusu mpira Hujui Sasa Huyo kakosea Wapi?