I pray for the favor of Thee, so that one day I will be a head representative of a family where every soul (human) that comes across with, should feel a home away from home. Getting married to that lady whose beauty originated from the soul will trigger itππΎ.
Sijahubiri INJILI hii muda mrefu lakini ukweli ni kwamba kadri unavyoendelea kuishi na kuona mambo yanayoendelea unagundua kuwa KIZAZI hiki hakiko tayari kwa kitu kinachoitwa NDOA.
Vijana na mabinti hawako tayari kulipa PRICE inayotakiwa kuwa kwenye ndoa japo HARUSI wanazitaka.
@Makaveli_255 It remains to be a myth hadi mtu limpate jambo. Simu haina muda ila inabidi sasa ifunguliwe (no more water resistant). Battery pia inabidi utupe ili uweke ambayo haiko recognised na system (UNVERIFIED). Hapo simu hata kama umeactivate jana, thamani inashuka kwa fujo sana.
Imagine hata Gavoo kwenye kila malengo ya miradi au taasisi zake zote, lengo number 1 ni kuzuia na kupambana na HIV/AIDS pamoja na other NCDs.
Halafu mtu ameshiba anasema Umeme siyo kitu cha ajabu.