Home
Language
English
Türkçe
Bahasa Indonesia
About
Privacy Policy
Terms of Service
Pricing
Sign In
Download All
Share
20zatown
@20zatown
world wide top 20 music videos count down/which will be aired every Saturday16:00pm-17:30 pm on Clouds Tv
Dar-es-salaam Tanzania
Joined April 2014
44
Following
3K
Followers
292
Posts
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
almost 10 years ago
·
Dar es Salaam
"Mfano 1 Sept ukiniuliza kuna nini ntakujibu kuna tukio la kupatwa kwa jua nani hili anafahamu ni sehemu moja tu duniani itatokea Songwe"
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
almost 10 years ago
·
Dar es Salaam
"Fursa ya kwanza tarehe 13 tutaanzia Dodoma watu wajitokeze kwa wingi katika siku hii maalum japo haikuwepo ktk ratiba yetu"
@MutahabaRuge
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
almost 10 years ago
Jeshi la Wananchi lakabidhi Cheti kwa Clouds Media Group kuonyesha mchango wa Clouds ktk Michezo.
#Fiesta2016
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
almost 10 years ago
·
Dar es Salaam
"Ubunifu na ile hali ya kutaka inakuvuta lazima kama wewe ni kiongozi lazima uonyeshe msukomo kwa vijana kuinua Ubunifu"
@MutahabaRuge
Who to follow
Rais Wa Wambea
@soudybrown
TV / Radio Personality | XXL #YouHeard @cloudsFmTz | #TheSatelite Coming Soon......
Mustafa Hassanali
@mustafahasanali
《r €@ t¡v€ 🧍🏿♂️ Owner @swahilifashion week, Chair @fatanzania Councillor @tpsftz National Director @Msworldtanzania MD @361tanzania 65 countries 🌍
DeeAndy
@doreenandy
Media Personality| Shy But Wild at Times.
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
Tuambie kitaani kwako hali ya hewa ikoje?
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
Beberu kwa kiluga chenu anaitwaje? cc
@CloudsFmLive
@barbarahassan
20zatown
retweeted
XXL
@xxlcloudsFM
over 10 years ago
Mume wa mwanamuziki Celine Dion amefariki dunia baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu.
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
Ulishawahi kuhofia kitu gani katika gari na ukamwita fundi akurekebishie na baadae ukagundua ni tatizo ambalo alihitaji fundi?
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
Ikifika saa sita mchana
#Cloudstv
itakuwa kwenye DSTV je unajua muda huo kutakuwa na kipindi gani?
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
Huyu ndiye Galaxy ambaye kwa sasa ameshatoa nyimbo mbili Tam Tam na Mzuri tu.
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
Galaxy ameshatoa nyimbo mbili Tam Tam na Mzuri tu. na anaona 2016 utakuwa mwaka wa kazi akiwa na nia moja ya kufurahisha mashabiki wake.
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
Mwaka 2015 Galaxy aliingia kwenye mkataba rasmi na Digital City Drimz. na kuanza kusimamia kazi zake za muziki.
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
Aliamua rasmi kuwa mwanamziki mwaka 2000 akiwa bado shuleni na baada yakumaliza shule akajichanganya na baadhi ya wanamuziki aliowafahamu
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
Rashidi Omary au “Galaxy Ikanda” alizaliwa mwezi wa sita mwaka 1990 na alipenda kusikiliza muziki na kuimba tangu akiwa na umri mdogo.
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
#MaalimSeif
- Jambo la 4, Viongozi wa juu wa CUF na CCM wakutane kujadili jinsi ya kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa kitaifa
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
#MaalimSeif
- Jambo la Tatu, Ipo haja ya Raisi Magufuli mwenyewe aongoze juhudi zenye lengo la kufanikisha mazungumzo hayo.
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
#MaalimSeif
- Njia zitakazotutoa tulipokwama ni M'kiti wa Tume akae pembeni kwa kujihudhuru au kusimamishwa kazi kwa makosa aliyofanya.
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
#MaalimSeif
- Nilizungumza na Raisi Magufuli lakini hakusema lolote kuhusu kurudia uchaguzi Znz
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
#MaalimSeif
- Haiwezekani kurudia uchaguzi, Tume haiwezi kuhakiki taarifa za wapigakura ndani ya muda mfupi uliopo
20zatown
retweeted
Clouds Media
@CloudsMediaLive
over 10 years ago
#MaalimSeif
- Tume ya Uchaguzi haipaswi kupokea au kufuata maagizo ya vyombo au Chama chochote cha siasa
Last Seen Users on Sotwe
nippond
Seen from
Thailand
METRAI6MUI
Seen from
Australia
ً
Seen from
Kenya
ÖZnurunuz
Seen from
Germany
✪𝗠𝗜𝗚𝗨𝗘𝗟 𝗦𝗢𝗟𝗢 ™ ✪
Seen from
Thailand
Kahla Kahla
Seen from
Oman
banana pancut
Seen from
Malaysia
علاوي
Ishita Roy
Seen from
India
Asma🇲🇦
Trends for you
1
Introducing
Under 10K tweets
2
#DMDSportsDay2026
Under 10K tweets
3
DevOps
Under 10K tweets
4
Mrs. Tucker
Under 10K tweets
5
Muley
Under 10K tweets
6
Project Gutenberg
Under 10K tweets
7
Frawley
Under 10K tweets
8
Garvin
Under 10K tweets
9
#MLBS6Spoilers
Under 10K tweets
10
Giulia
Under 10K tweets
Most Popular Users
1
Elon Musk
@elonmusk
241.1M followers
2
Barack Obama
@barackobama
119.1M followers
3
Cristiano Ronaldo
@cristiano
112.4M followers
4
Donald J. Trump
@realdonaldtrump
111.8M followers
5
Narendra Modi
@narendramodi
107.1M followers
6
Rihanna
@rihanna
98.1M followers
7
NASA
@nasa
92.2M followers
8
Justin Bieber
@justinbieber
91.3M followers
9
KATY PERRY
@katyperry
88.7M followers
10
Taylor Swift
@taylorswift13
82.6M followers
11
Lady Gaga
@ladygaga
74.1M followers
12
Virat Kohli
@imvkohli
71.5M followers
13
Kim Kardashian
@kimkardashian
70.3M followers
14
YouTube
@youtube
68.7M followers
15
Bill Gates
@billgates
64.5M followers
16
Neymar Jr
@neymarjr
64.4M followers
17
The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers
18
CNN
@cnn
61.8M followers
19
Selena Gomez
@selenagomez
61.8M followers
20
X
@x
60.8M followers
Olivia
Online
✨
⭐
💫