@rollymsouth Halafu hizo kashikashi za wamama zinawafanya watoto pia kuwa na adabu, njoo sasa watoto wa ulaya mitoto yao mingi haina adabu sababu haipewi mikong'oto
@Mangiwakwanza Kupata chanjo hakumaanishi huwezi Kupata maambukizi, wanavyosema chanjo itakusaidia usifikie hatua ya kushindwa kupumua bila masaada ya vifaa