Watch how Tony treats every problem like a transaction: a little cash, a little pressure, and the world should move aside. But the traffic stop, the purchase, and the tension at home expose the same blind spotโhe can negotiate almost anything except his own behavior. #TheSopranos #TVShows
Who remembers when Arsenal and Spurs fans were locked in the box during the first NLD fixture and were made to wait in agony before the result was revealed. The gran is too real, she said โI ainโt f** watching it like this no moreโ ๐
Mtu Anasafiri Kutoka TANZANIA Mpaka MAKKAH MADINAH Kuzuru Kaburi La MUHAMMAD Wengine Wanasafiri Hadi YERUSALEM Nchini ISRAEL Kuzuru Kaburi La YESU Wanaacha Kuzuru Makaburi Ya Mababu Zao Wanasema Eti Ni MIZIMU Mungu Hapendi. Kwani Muhammad Na Yesu Siwalikua Binadamu Kama Mababu Zetu. Yaani Wao Wanawaita Watu Wao Waliokufa WATAKATIFU Halafu Wakwetu Wanawaita MIZIMU.
@MasterOfPainII@GeorgeJob14 HUJAELEWA POINT YA JOJI..MATCH ZA MARUDIO ZILIONYESHWA SAA SITA USIKU BAADA YA GEM YA LIFE KUISHA. ILA WATU WALIJUA NI LIVE KUMBE ILIKUWA RECORDED