@PolycarpMDM hivi huyu sheh mwaipopo kuna wanaumini kabisa wanaingia kwenye msikiti anaofundisha na watu wanamsikiliza kabisa mbona kama hana hata chembe ya spirit ya kiungu
Watu wengi hudhani kama Charger ni Watts 65 basi simu itapokea watts 65 zote ๐.
Big NO, Kila simu Ina limit ya kupokea watts, na simu nyingi sana huwa zinapokea watts zisizozidi 25W, ni SAMSUNG zile kubwa ndo zinapokea 33W maximum.
Ila TU faida ya kununua hizi ORIGINAL CHARGER ni kwamba zinajaza simu mpaka 80% kwa muda wa dakika 30-40.
Kupata Original charger kama hizi, tafadhali nipigie au nitext WhatsApp
0747625726
@YerickoNyerereT Hata mimi huku nawala sana!!
Hatumchukii Fam, Fam ni familia since day 1 na tunamuheshimu mzee wetu!!
Fam ni muumini wa demokrasia, nasisi tunaiishi hiyo demokrasia kwa kutoa maoni yetu!!
Vipi chauma bado mna exist?