Ricardo Momo 🗣️
" Za ndaani kabisa inasemekana kwa sasa Timu ina mawe ya kutosha Dollar laki tatu mezani wanamtaka mwamba ambae ni signing fee hio huku watakua wanamlipa Dollar elfu 15 kila mwezi mchezaji akakubali japo timu kishingo upande inaamua kumuachia ndo maana hakutaka hata kusubiri"
" Inasemekana kua wanataka kumchukua na mchezaji wa mamelody sharuwile wamba wamepania kweli kweli"
---------------------
Atakua mchezaji gani huyo wakuu 😂
#MICHEZO: Alama 3 zimepatikana kwa tabu sana katika uwanja wa Sokoine Mbeya, Simba wakiwashangaza wenyeji Mbeya City na kuendelea kubaki na matumaini ya kupambania ubingwa wa Ligi kuu msimu huu.
FT: Mbeya City 0-1 Simba
45'Mpanzu E.
Baaday Simba unaziona Ureno na Uingereza zikiondoka na alama tatu leo?
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV @nickymeena_