Oya wakuu leo nimesafiri kutoka Dasalam Mjini hadi MAKAMBAKO, nimekutana na hii CYPHER. Ndani kuna Nillan, Max, Digo Digo, Kado etc, asee nimeshindwa kujua nani kaua zaidi maana kila mtu kapita na style yake. Labda tumuachie mwenetu @DullahTheking2 aseme lolote🙌🙌
Kaka @BracuszCadabra & @TzFootballers , huyu mwamba anawezaje kusema maneno hayo ikiwa wameahidi kutoa 100M pekee kwa ajiri ya usajiri per year.
Let say Simba wanamtaka Fei ambaye anagharimu 1B, watatoboa kweli au ndo mihemko
✍️ Jonathan Ikangalombo anacheza vizuri mshambuliaji wa kati kuliko pembeni
✍️Aziz Ki ndoa imekubali ananenepa tu
⚡ROBO FAINALI imekamilika kwa vilabu vinane kuingia hatua hiyo
Yanga SC
Simba SC
Singida Black Stars
JKT TANZANIA
Pamba jiji
Kagera Sugar
Mbeya City
Stand UTD
Andiko la kaka @Benji_Fernandes
Kaka @Ujuguhapa mwambie Boni Yai na wenetu wa asas tupeane mitaji, au mpaka niseme kama Bambo "tupeano mitajo juo kalo"
Kijana wa Kitanzania
1. Akioa/Kuolewa mnamchangia
2. Akifa/Akifiwa mnamchangia
3. #HBD yake ikifika mnamchangia
4. BBY shower ya mtoto wake mnamchangia
Lakini
Akikosa Mtaji Hakuna wa kumchangia👀
Kocha, Manuel Pellegrin na kiungo Isco (Real Betis🇪🇸) wameshinda tuzo za mwezi March Laliga. Betis ndani ya mwezi March imeshinda mechi zote, ikifunga magoli 6 na kuruhusu magoli 3. Isco amehusika katika magoli 4/6, akifunga magoli 2 na assist 2
3 games, 3 Win, 6+/-3 goals
NATIONAL TEAM CALL UP 🏴
Kiungo Mshambuliaji mwenye asili ya Tanzania Malaika Meena Ameitwa Kwenye kikosi cha Taifa England Under 23
Malaika Amewahi kuitwa Mara Tatu Twiga stars ila hakuweza kufika kotokana na sababu tofuati ikiwemo Majereha
Kila La kheri Meena 🇹🇿🏴
Haji Mnoga came on as a substitute in Tanzania's World Cup qualifier with Morocco last night, his first international appearance for a year 🇹🇿
Well done @mnogsss 👏
SIMBA NA LAKE ENERGIES NI FAMILIA
Kampuni ya Lake Energies imeingia ushirika na Simba Sc kwa kuzindua SIMBA WESE ambapo mtu akinunua mafuta kwenye vituo vya Lake Energies na kulipa kwa kutumia mfumo wa Simba Wese unaopatikana kwenye mitandao yote ya simu, Simba watapata gawio