Binafsi ningekua mjumbe ningempigia Fam,lakini natamani sana Tal ashinde ili wale wanaodhani Fam ni dhaifu,mbabaishaji,kapewa pesa.wajue tofauti ya kuongea na kutenda kwa mikakati mbinu na kukubalika na makundi yote.niamini mimi haitapita hata mwaka mmoja watajua.
Rais Samia anasema hana mpango wa kuandika Katiba Mpya sasa ila anataka kutoa elimu ya Katiba iliyopo kwa miaka 3. Chadema tunasema tunataka Katiba mpya sasa
Kama unakubaliana na Chadema #Retweet
Kama unakubaliana na Samia #Like
Kosa lilianzia kwenye ngazi ya familia pale tulipoaminishwa mkubwa hakosei.Ndio maana tukiwapa mamlaka hata wakikosea hawataki waambiwe hawataki kukosolewa hawatakai kujisahihisha.wanajiona wao ni wakubwa ivo hatupaswi kuwaambia kua wamekosea.
@JamiiForums Kwa kauli hii anamaanisha ukiwa mwana ccm ukifanya makosa hupaswi kuhukumiwa Kwa mujibu wa Sheria zetu.eti Kwa sabb tu mwana ccm,Nchi inahitaji katiba mpya.