Liverpool anavaana na Southampton katika uwanja wa St. Mary's leo kuendeleza mbio za ubingwa wa Ligi kuu England.
Liverpool yupo nafasi ya 2 kwa pointi 79, Southampton yupo nafasi ya 16 kwa pointi 33.
Michezo mitano iliopita: Liverpool WDWWW, Southampton LWLWW.
TRIPPLE C MWAMBA WA LUSAKA, JE ATAONDOKA MSIMBAZI????
Je @simbasctanzania watakubali kumwachia kiungo huyo machachari atimukie kusini mwa Afrika, na kama akiondoka, je unadhani nani anastahili kuziba
pengo atakaloliacha Clatous Chota Chama?
CR7 kwenye 18 za UEFA.
Cristiano Ronaldo amefunguliwa mashitaka na UEFA kutoka na ushangaliaji wake kwenye mechi ya hatua ya 16 ya juventus dhidi ya Atletico Madrid.Kamati ya Maadili na Nidhamu ya UEF itafanyia kazi kesi hii March 21. #SokaLiveUpdates
Odoi kala shavu.
Callum Hudson-Odoi ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza chini ya Gareth Southgate kwa mara ya kwanza. #SokaLiveUpdates