@Phbhimself Unasoma kitabu Gani labda hapo naweza jenga hoja dhidi Yako Lakini ashakumu si matusi Kajielimishe upya bro, access ya followers Na content selection haimaanishi unaweza sema chochote usicho na elimu Nacho. Unaakili Ndio lakini ufahamu umenyimwa
@Phbhimself Mungu alimpa mwanadamu akili ili kunapo hiyo akili aweze kuhoji na kufikili kiyakinifu Juu ya elimu na mazingira,I wonder how you use your brain na hata kwa Mambo madogo Kama haya bado unakubali kuingia kwenye shimo la upotofu wa fikra?? Natamani nijue
@SeifShaban56821@Labella_Mafia95 Kaka tamaa sio inshu hapo mtaji,mtaji,mtaji,suport, suport, suport,,,jobs alikua na mtaji,jobs alikua na maono pia jobs alikua na watu sahihi wakumshika mkono,ukianzia wazazi na rafiki,watu wanakosa plan b pindi mtaji ukikata