@_Arach1nid@kariakoo_KID@ThomzJoseph 😂😂endru labda babako awe raisi na anataka kukurithisha nchi ila hizi mambo zengine we unaweza zikataa na kufwata njia zako
Mwisho wa siku kila mtu anatakiwa kuishi maisha yake mzee
@_Arach1nid@kariakoo_KID@ThomzJoseph What if nikaenda kuteseka nikaja kuwin more than huo upoti?!
Ndio hapo jamaa alikuwa anazunguzmia kwamba ukiamua kuwa mfadhina kuwa mfafidhina ila jua wazazi hawatakusapot kinachotakiwa ni kuwa prove wrong sasa usiombe ufeli🤣🤣
@capitanpapilon@OfficialKyejo @Danford_tz Julius now kajikita wapi sijui ile acc nyingine aliuza kuna siku naikuta na username ya kike kuzama dm ni yule bwege nikampigia kumpa mtusi😅