Kuna habari nimeipata ila kwa vile sina evidence ya 100% basi sitotaja majina directly ila issue iko hivi, JK has come up with a plan ya kuitawanya Chadema kama alivyofanya kwenye Urais wake kwa kuanzisha ACT Wazalendo na kimama kaanza kuitekeleza plan hii.
Abdul na mama yake kwa sasa wanafanya big financial investment kwa viongozi wa Chadema kupitia business mpya.
Nimeambiwa Kuna Bank inaitwa Bank M itatangaza kufilisika kisha watainunua wao kina Abdul kama taasisi ya pesa yenye leseni, watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.
Wanajipanga kufungua bank ya kifisadi ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi endapo USA wanaweka sanctions kwenye mfumo wa fedha, inorder to by pass possible coming sanctions. Wanatengeneza hiyo shadow banking network and some viongozi wa Chadema wamepewa shares kwenye huu uharamia ili kusaliti wananchi……
Bank M iko chini ya mfilisi ila soon Bank M itakuwa activated with “foreign owners” na itakuwa foreign bank yenye wateja TZ. Hao “foreign owners” ndio mpaka some viongozi ndani ya Chadema wako. Kuna kiongozi mmoja ndani ya Chadema huyu mpaka katoa maelekezo kuwa hii bank iwe na HQ nchi flani.
Nimeambiwa Mbowe keshaanza kujenga majengo Dodoma ambayo atawakodishia hii bank.
Yani its a network made up of some viongozi wa Chadema wakishirikiana na wauwaji wa October 29. Yani CCM wamekubali kula na viongozi ndani ya Chadema ili mradi haki isipatikane Tanzania.
Naomba kila mtu asave hii posti coz kuna siku nitarudi ku refer to this post. Please save this post.
"Kamwe msitumie ujuzi mliopewa jeshini kuua raia. Ujuzi wenu ni wa kulinda maisha, si kuyachukua."
Kauli hii ilitolewa na Rais wa Botswana, Duma Boko, alipokuwa akifungua Mkutano wa 20 wa Kimkakati wa jeshi rasmi la ulinzi la nchi ya Botswana, Botswana Defence Force (BDF).
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilikaa Julai 29. Siku hiyo hiyo Jeshi la Polisi linatoa taarifa 'KURUHUSU' mikutano! Julai 30, mahakama ya Rufani inatoa 'ushindi' kwa Lissu dhidi ya DPP, huku mama Kizimkazi akikutana na wanasiasa Ikulu. Julai 31, kesi ya uhaini ya Lissu inapangiwa tarehe.
Bado unataka ushahidi gani kuona kuwa DPP, Jeshi & mahakama wote wanapokea maelekezo & kuwa kesi ya TAL ni ya KISIASA! Bado unataka ushahidi wa chama KUSHIKA HATAMU!
Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE.
Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza
The day the monkey dies, all trees become slippery
The disgraceful and boisterous spox of #Tanzania unabashedly posted a post alluding to a fake endorsement by DJ Khaled and a Visit Tanzania deal! But thankfully he didn’t get away with it! Dj Khaled’s agency publicly denied any endorsement!
Serikali ya wauaji na watekaji imeumbuka! Acheni huu uhuni wa kupiga picha alafu mnapost kama vile mmefanya dili ya maanaa au kuwa mmekubalika! Hapo mmeshavuta pesa mnasema mmeitangaza nchi! Wezi wakubwa ninyi! Kibaya lisemaji limeumbuka! Mungu huyo!
#TutaelewanaTu
Someone forwarded me a clip from the Bongo Flava 30 Years celebration where MwanaFA was introduced to the crowd with his classic hit Mabinti. I was living in Germany when he mentioned my name in the lyrics: ”…kuna pozi za Mtoni kama Tausi Likokola…” among many other names mentioned in the song.
Those were better days for Tanzania. Days when many of us proudly celebrated our country for its peace, unity, and hope.
Then, just minutes after FA took the stage, politics entered the conversation, and the crowd responded with boos. To me, that moment reflected the frustration, disappointment, and political polarization that many people feel today.🇹🇿
Watanganyika wamechoka.
A nation once admired for its peace and unity is now deeply divided. You crowned yourselves into leadership that people have rejected, and they will continue rejecting you unless justice is served.
History has a way of marking defining moments. October 29, 2025, became one of those moments. It will never be business as usual-a turning point that changed Tanzania forever.
The call for truth, accountability, justice, and national healing has not disappeared. If anything, it continues to grow. It shows everywhere-nationally and internationally.
Mwenye Macho Aone-eeh!
Walimleta DROGBA-bado hali ipo vile vile na inakuwa mbaya zaidi kila siku.
Wakamleta FREDNAND-bado hali ipo vile vile na inakuwa mbaya zaidi kila siku.
Na sasa wamefanya tamasha lao la miaka 30 ya BONGO FLEVA ambalo lilikuwa "SOLD OUT" na bado wakaishia KUZOMEWA-hali ipo vile vile na inakuwa mbaya zaidi kila siku.
Ni haki PEKEE ndio italiunganisha hili taifa-kwasasa mnachezea hela tuu na kupoteza MUDA.
Sijui nani anawashauri hawa WAPUMBAVU.
Good Job Watanzania, wow wow wow.
Hongereni Watanzania maana zamani hata kuwazomea hivi CCM tulikuwa tunaogopa ila sasa hivi hatuwaogopi tena hawa wauwaji na machawa wao.
Watanzania, video kama hizi zinatutia moyo wanaharakati wenu tuendelee kupambana kwa niaba yenu. Yani mimi personally nimeangalia video hii nikajiambia, it’s worth it kupigania nchi yangu, Acha ma cartel waje kuniua ila napigania watu ambao wako tayari kujipigania…..,
Mmejua kunipa raha mchana huu.
@tedcruz@SenatorShaheen@Europarl_EN This is the reality in Tanzania: the people have rejected Samia Suluhu and her regime. The moment her government was mentioned, the crowd erupted in boos. The minister wasn’t even given the chance to finish his sentence.
The only reason CCM remains in power is through killings, fear and force. Tanzanians are being held hostage at gunpoint, not governed with the consent of the people.
Mwalimu JK Nyerere na Abeid Amani Karume walikuwa wanaharakati waliotanguliza maslahi ya taifa.
Kama walishiriki katika harakati za kupigania uhuru na kujenga Tanzania, kwa nini leo neno ‘mwanaharakati’ lionekane kama tuhuma badala ya heshima?”
Bishop Bagonza
#DemokrasiaYetu
Naona 7/7 ilifanikiwa 💪🏽🔥
Walijifunga own goal! Walitunga stori za KIPUMBAVU eti sijui watu wamepanga kuua na kuchoma moto
Waongo wakatoa hadi jeshi, wakamtoa na Mwaipopo anatisha watu eti wakionekana hata watu watano watatolewa macho
Nyie ndo mmetisha wananchi
Mmeua maelfu alafu mmeshindwa kuwajibika hadi mmenyimwa fedha’za wafadhili!
Sasa mmejifunga magoli mnatulaumu!?
Kuna wakati kukaa kimya ni busara
Milio imeongezeka tukaze hapohapo!
Na Lissu mtamwachia na ataikuta Chadema salama
Nasema #TutaelewanaTu
Tumeshashinda hawa wamekaza fuvu tu!
Kwani hao ACT WAZALENDO mpaka wanafanya Maridhiano Zanzibar kwani walikuwa na shida gani hawa?
Wanataka kuitumia ZANZIBAR kama Condom kwenye kuhamisha usenge wao wa MARIDHIANO kuja Bara.
Chama Cha WASENGE SANA HIKI.
Habari niliyopewa usiku huu ni nzito sana.
Watanzania naomba mnisikilize, Heche is a DEAD MAN WALKING….
Huu mpango wa kumuondoa kama kiongozi wa Chadema kupitia kumchafua kuwa kaiba pesa za tone tone ukishindwa kumuondoa CCM watamuua ili waweze kuweka mtu ambae ataipeleka Chadema kwenye maridhiano na kimama.
Yani ni hivi, kimama anataka maridhiano na Chadema at any cost . Yani lazma yafanyike, wamemwaga pesa ndani ya Chadema kama zote ili Heche aondolewe Chadema waweze kuweka mtu wao. Unaambiwa kampeni ya kumchafua Heche ni kubwa na ndo kwanza imeanza, mnaambiwa mpaka kwenye kamati kuu ya chama wanamwaga hela ili aondolewe.
Sasa ikishindikana hiyo plan ya kumuondoa kwa kumchafua kimama yuko tayari kwenda kwenye plan B, to kill him…..
ile ticket and info alioposti Yericko sio Ai au edit it’s real. Kapewa na usalama wa taifa, although Heche hakusafiri. Ila hali ni mbaya kiasi hiko. Mombo anamstalk Heche kila anapoenda anasubiri go head ya kimama then amuue Heche.
Watanzania Heche na Lissu ndio watu wamwisho tulionao wenye msimamo mkali, tumlinde Heche kwa njia yoyote, yani hata ikibidi tupeane zamu kulala nje ya geti lake, au hata tuchange tulipie international security group waje kumlinda other wise HE IS DEAD…
I am shocked TISS has not been declared a criminal syndicate.
An intelligence service should protect a nation, not appear in every dark allegation about abductions, killings and political terror.
Abdul Halim, is the blood already spilled not enough, or does power still demand more sacrifice? Or Mommy needs more blood?
Kihistoria muda wa kitu ukifika hauwezi kubadili tena.
Tangu zamani..
Muda wa biashara ya utumwa kukomeshwa ulipofika haikuwezekana kuzuia tena.
Muda wa uhuru ulipofika wakoloni walilazimika kuachia hizi Nchi, hata walipojaribu kutumia mabavu haikuwezekana..
Moyo wa wananchi umeishakataa CCM, Muda wa ccm umekwisha, bunduki, mabavu, mauji na utekaji haviwezi kubadili hali hiyo.
Kucheza na hisia za wananchi na mioyo ya watu ni kucheza na moto.
Uhalali wa serikali dhalimu hauwezi kuletwa na bunduki.
What you see in this video is the reason political rallies have now been banned in Tanzania. The opposition’s rallies were growing larger with each passing day. Not only were they drawing massive crowds, but people attending the rallies were also voluntarily donating money to support the opposition.
It was a clear and powerful rebuke of Samia Suluhu’s regime by the people of Tanzania.
@POTUS@SenTedCruz@SenatorShaheen@SenateForeign@SFRCdems
Kitila anasema bila kupambana na CCM hakuna namna tutapata #KatibaMpya anasema CCM wanatumia ubabe kama nchi nyingine za Afrika
Kitila anasema bila kutoa CCM madarakani hakuna katiba Mpya tutapata, Wananchi ndio chimbuka la katiba sio serikali au chama Tawala
serikali haina mamlaka yoyote ya kuzuia mikutano ya hadhara. si katambi, si samia. serikali halali haina hayo mamlaka, hii haramu imeyatolea wapi? vyama vya siasa visitii agizo haramu. vilikosea kufanya hivyo kipindi cha magufuli; visirudie kosa sasa. sisi ni wengi kuliko wao!
About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder.
Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there.
So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldn’t hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were.
The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony.
The woman did all the talking. The man didn’t say a word.
As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door.
Everything is being forwarded to the FBI.
If anything happens to me, this is where the investigation should begin.
I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one.
KISWAHILI
Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi.
Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango.
Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama.
Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu.
Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja.
Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu.
Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI.
Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa.
Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki.