Honestly siwezi kubali mwanaume mwenye mtoto halafu nikalee mtoto wa mwanamke mwingine. Labda kama mkewe alikufa na kabur nikaoneshwa.
Hii naongea kwa ushaidi ambapo niliona mambo magumu kwa bwana Yule.
Afadhali nianze moja na mtu, tupambane kwa Hali zote hadi tufike tunapotaka