Father and servant of my family. human shortcomings should not be a reason to degrade one's dignity. I love by the Mercy of God.justice exalts the Lowly.
@AMkioma@JamiiForums serikali ni wanadamu kama sisi, na binadamu mwenye shibe ni ngumu kutambua changamoto anazokutana nazo mwenye njaa....kiukweli nasapoti swala la #KatibaMpyaNiSasa kwa asilimia zote ili haya mapuuzo ya viongozi yakomeshwe
PROFESA ASSAD: #Tozo zina hasara kubwa kuliko faida kwa Serikali
> Viongozi wanaotumia magari ya Serikali yenye gharama kubwa kwa shughuli za kiofisini na binafsi ndio wanatakiwa kulipa kodi kwa kuwa wanapata faida ambazo si za kifedha
Soma https://t.co/6Bmg7WQoBQ
#JFSiasa
Zama Mpya walichapisha video hii inayolalamikia TOZO sasa wizara inayoongozwa na Nape Nnauye imeamuru walipe faini ya Tsh. 2,000,000/=. Watanzania sote tunaopinga dhurma tuungane kuwachangia faini hiyo Zama Mpya. Tuma mchango wako kwa.
M-Pesa 0757884884 DARMPYA MEDIA LIMITED
@AMkioma@HildaNewton21 MUNGU amlinde pia sijui kajiamini Nini anayosema yananifanya nimuone shujaa na KWA ITV inayotazamwa na maskini kibao Kuna Muda kitawaka CCM hawatoamini