@godbless_lema@kasulukwetu Hii ni wazi sasa umefiliska kisiasa unaanza kutapatapa na kuanza kuongea mambo ya watu ambayo hayakuhusu.....leta agenda za kuijenga nchi acha uswahili wewe........
@HKigwangalla Dr unakwama wapi? wewe ni public figure tena unafanya kazi yako vizuri sana mimi kama mdogo wako na mwana CCM mwenzio nakuomba usifanye hivyo mitandaoni kwana haileti picha nzuri kwako,familia yako, kwa watu wa Nzega, wana CCM wenzako, rais wako aliyekuteua na pia kwa taifa zima