@DwayneDedan@earadiofm Ooh nadhani WeWe ndo bogus kabsa siasa za uzalendo watu wake Hao hawapo Leo wangapi wamehama vyama hivi tena walikua na misimamo mikali wew kama huoni siasa ni fursa wenzio wanaiona hiyo ni sehemu ya kutokeaa
@millardayo@chemical_tz Sas ndgu @millardayo 2020 /2021 bachelor degree naona kutoka muda huo KUPIGA masters na pHD ni muda mfupi mno otherwise vyuo vya ulayaa huko no complications ila kwa bongo hii issue ya pHD miaka nenda rudi mpak watot watakusahau kosa kosa miaka 6 Inakuhusu
@Jambotv_ Hakika harakat zote za chadema naunga mkono lakini hili LA kutokushiriki uchaguzi eti reforms kwanini mkazo unakuja kipindi hiki tunakaribiaaa uchaguzi wakati viongoz wanajuaa reforms hizo zinataka mchakato this is a big loss
@godbless_lema Lema uko matured Sana, naww ni legend, mm kinachoniuma na kuona Nchi hii viongoz ni ni bora liende najiuliza mamlaka za juu hazioni hizi tafrani maendeleo kwa WANANCHI yatakujajaje km viongoz WA kubuni na kusimamia miradi wanagomban kwann hatua hazichukuliw?
@AfricanHub_ I think there is no bad at all, and then why don't he attend the duties he was assigned by his state instead spending his country's resources to conduct researches which are non of his business Shame up on
@chiefodemba Very unfair mtu anaibua hoja kwamba Kuna ubadhilifu kweny miradi badala apewe support inatumikaaa nguvu kuzima hoja ya upigaji sas mh. Waziri yeye si angempa ushirikianoo wajue ukweli WA mambo lakini hoja inazimwa kwa namna hiyo "if you can't fight join them"
@JonMrema Imeniuma Sana eti CHADEMA haitoshiriki uchaguzi kwa ajili ya mihemko ya watu wachache Sasa ivi Chama kitakua kinadai mabadiliko yapi wakati hakipo kweny mchakato WA uchaguzi? Waliopo ndani ndio watakua na access ya kudai hayo mabadiliko hapa viongoz wakiri kwamba walipiga boko