Ahsanteni kufika followers milioni 1 Twitter! Kuweka kumbukumbu ya siku hii, nitatoa TZS milioni 1 (au zaidi) kuelekea sababu za hisani (charitable causes) / biashara zenye uhitaji. Mawazo 10 bora na wenye retweets nyingi ndio nitayachagua ππ½ Hakikisha unatumia: #MoGifts2020