Hili jamaa ni zaidi ya msukule ivi huyu @TunduALissu mbona muongo na anawafanya watu km hawana akili kweli afu kwa nini anakuwa anawawekea maneno watu yake kuwa ndio yao.
huyu ni mpuzi yaan watu wafanye na waseme unayoyataka wew wasiseme yale waliyoyafanyiakaz @ChademaTz mlibugi
Zile punch alizokuwa anapiga Bro @HassanMwakinyo jana ukute huko home kama ana ka-wife huwa kanamjibu tu niguse uone, Nasema niguseeeee Uoneeeπ. Dah ila wanawake majasiri sana Nyie acheni tu :CPπ π π
Vijana wengi Mnapenda Maisha mtelezo Ila vijana kujenga ni kitu rahisi sana Mfano ukiwa na 6M unatoa Nyumba kaliiiii.
1M unanunua kiwanja
800k Msingi
2.5M unanyanyua boma
1M unachukua Msouth mkalii bugurun pale
inabaki finish hii inakula ela lakin inategemea na mkono wa fundi